lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Pengine ulisota kutokana na ujinga wako..Awamu ya mkwele nilisota sana ila wamu hii mungu ampe maisha marefu jpm ikiwezekana tumuongeze muda
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mkwele" ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine ulisota kutokana na ujinga wako..Awamu ya mkwele nilisota sana ila wamu hii mungu ampe maisha marefu jpm ikiwezekana tumuongeze muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hakuna zuri hata moja mkuu ?
Labda la Elimu bureJe hakuna zuri hata moja mkuu ?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Kuhusumiwa maana yake nini mkuu ?Nidham kazini ofisi za serikali safari hii unahusumiwa bila mizengwe
Nawe unasota kwa ujinga wako was sasa kama mkwere humjui shauli yakoPengine ulisota kutokana na ujinga wako..
"Mkwele" ni nini?
Hilo hapana, serikali imefeli
Wenzetu wanatudai billion 90 lakin wanapiga kelele dunia nzima.Tutapewa Noah tukilipwa hela zetu za Makinikia
Shiiiiiiiiii.Wenzetu wanatudai billion 90 lakin wanapiga kelele dunia nzima.
Sisi tunadai trillion 400+ lakini tunejifungua chumban tunafanya mazungumzo na mwizi.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hivyo ndivyo uliandika awali?Nawe unasota kwa ujinga wako was sasa kama mkwere humjui shauli yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala huru hauwekewi mpaka.Wenye kuona mafanikio ni vyema.Hali kadhalika wenye kuona tofauti wpewe nafasi!![]()
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga