Nidham kazini ofisi za serikali safari hii unahusumiwa bila mizengwe
 
Tutapewa Noah tukilipwa hela zetu za Makinikia
Wenzetu wanatudai billion 90 lakin wanapiga kelele dunia nzima.
Sisi tunadai trillion 400+ lakini tumejifungua chumban tunafanya mazungumzo na mwizi.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kuiba pesa za rambirambi

Kuwanyamazia viongozi wenye vipele sugu. (Makox pamoja na kale ka Arusha)

Bomoa bomoa
 
Wenzetu wanatudai billion 90 lakin wanapiga kelele dunia nzima.
Sisi tunadai trillion 400+ lakini tunejifungua chumban tunafanya mazungumzo na mwizi.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Shiiiiiiiiii.
Kwa masilahi ya Taifa.
 
Hahahahahb,,,,,,KUHUSU VYETI FEKI HAHAHAHAAHH VYETI FEKIIIIIII HAHAHAHA KWELI KWAHILI RAIS WANGU NAMPA BIG UP SANAAAAAAAAAAAA .


HAMNA CHA UJANJA UJANJA TENA.
 
Rais Magufuli anafanya kazi sana, anaijenga Tanzania mpya yenye uchumi wa kati kupitia viwanda
 
JPM ni kiboko kabisa. Yale tuliokuwa tunataka Ukawa wayafanye ndio anafanya yeye, kwanini nisimpende? 2020 Kura yangu kwa Rais Magufuli
 
Mjadala huru hauwekewi mpaka.Wenye kuona mafanikio ni vyema.Hali kadhalika wenye kuona tofauti wpewe nafasi!

Nilichobaini na kukiri tangu aanze kupanga magogoni ni pamoja na:
Katiba kunyongwa.
Siasa za visasi/chuki.
Uongo wa mchana(msema kweli,maendeleo hayana chama).
Unyang'anyi wa mali na haki za raia wa kawaida.
Ugumu wa maisha kwa walio wengi(mfumuko wa bei).
Uhusiano na wadau wa nje kimaendeleo kudorora.
Sinema na vituko vya ajabu ajabu(makinikia,mabehewa bandarini,vyeti feki/watumishi hewa,ulaji rambi rambi n.k.
Bomoa bomoa.

Mengine wataongezea wana jamii.
 
Twende tujue tulipo kama nchi yenye sera ya viwanda mpaka sasa tumejenga vingapi na vimepunguza tatizo la ajira kiasi gani na pia vimeongeza pato kiasi gani .kwa yeyote ambaye kiwanda kimejengwa kwake atutajie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…