Sasa hivi kuna Rushwa Sana Tena bila aibu, acha uongo! Twende nikakuonyeshe, Barabara ni za udongo tu, mahakama ya mafisadi haijawahi kufanya kazi , Watumishi Feki? Bandari watu wanapiga Kama kawa...
Siku nyingine usiwe unafunguka hivyo jifunze kumeza mate
 
Maendeleo ni two directions "forward or backward"
 
1. Nani kahukumiwa na mahakama ya mafisadi mpaka sasa,?
2. wapi iliko 1.5tril
3.
 
Reactions: PNC
Million hamsini kila kijiji, Wapi viwanda?
 
Nenda kawaangalie mabibi wa mtwara wanavyofaidika na zao la korosho,hv unajua bei ya mazao ya biashara kama korosho,kahawa,pamba sasa hv ni sh ngapi na zamani yalikuwa sh ngapi?acheni unazi,Magufuli kafanya mengi tuu....unaongelea bibi yako ananufaika vp na ndege mbona huongelei vivuko vilivyonunuliwa mfano kivuko cha busisi kule mwanza...inamaana hata hicho mabibi hawatapanda??
 
Mkuu bei ya Korosho ni Raisi ameingilia kati au ni upepo wa soko la dunia tu? Kama ni hivyo mbona mbaazi imegoma? Naomba unieleweshe tafadhali!
 
Mengi ni ya Kikwete.
 
Acha kupotosha kivuko cha busisi MV. Misungwi kimenunuliwa na kuanza kufanya kazi awamu ya 4, waziri wa uchukuzi alkuwa Mwakyembe
 
Acha kupotosha kivuko cha busisi MV. Misungwi kimenunuliwa na kuanza kufanya kazi awamu ya 4, waziri wa uchukuzi alkuwa Mwakyembe
Yaan kitu pekee kinachonishangaza kwa wapinzani wa kitanzania ni kupinga pinga hata vitu vilivyo wazi kabisa...hv ni kweli kuna mtanzania ambaye haoni Magufuli kafanya nn mpaka sasa hv????hicho kivuko nilichokuwa nakiongelea ni hicho hapo chini...hlf hv mtu akisema eti ndege haimsaidi bibi yake aliyekijijini hv anakuwa anafikiria kwa makalio au kichwa??hv unafaham ni wafanyabiashara wangapi wa samaki walikuwa wanakula hasara kutokana na ukosefu wa ndege za kutosha???hv unafaham kuna wafanyabiashara wangapi wa maua walikuwa wanakula hasara kutokana na ukosefu wa ndege za kutosha..magufuli Kaleta sana uhai kwa wakulima wa mazao ya biashara..Kuna watu kilombero walikuwa wamesusa mashamba yao ya miwa kutokana na kiwanda cha sukari kushindwa kuwalipa kutokana na hasara waliyokuwa wanaipata hasa baada ya watanzania kutumia sana sukari inayotoka nje na kuacha kutumia ya ndani lkn leo hii viwanda vinapata faida na wakulima wamerudia mashamba yao,hebu angalia production ya pamba ktk kipindi hiki huoni kama vitu kama hivyo ndio vinawagusa watanzania wa kawaida vijijini???kuna miradi ya sgr na miradi mingi tuu ujenzi ambayo mingne yy ndio kaanzisha na mingne karithi kutoka kwa kikwete but yy ndie anailipia ktk awamu yake.....sikatai na yy anamapungufu yake but kwa asilimia zaidi ya 80 amefanikiwa sana.
 
Mkuu bei ya Korosho ni Raisi ameingilia kati au ni upepo wa soko la dunia tu? Kama ni hivyo mbona mbaazi imegoma? Naomba unieleweshe tafadhali!
Hahahahahaha ni Nguvu ya utawala wa Magufuli kuzuia madalali waliokuwa wanasimama mtu kati na kuwanyonya wakulima..Magufuli akishirikiana na waziri mkuu wake kaweka mechanism nzuri za kuhakikisha wakulima wanadeal na wanunuzi kwa uwazi kabisa..hiyo imesadia wakulima wengi wa mazao ya biashara kunufaika sana ktk utawala huu wa magufuli siyo tu wakulima wa korosho.
 
Lissu katwangwa
Ben saanane ....
Uhamiaji haramu wa vyama vya siasa
 
Kuongezeka kwa gawio pia ni jambo kubwa tangu uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…