Sasa hivi kuna Rushwa Sana Tena bila aibu, acha uongo! Twende nikakuonyeshe, Barabara ni za udongo tu, mahakama ya mafisadi haijawahi kufanya kazi , Watumishi Feki? Bandari watu wanapiga Kama kawa...
Ninauona ugumu wa kupambana na rushwa kwenye mazingira ya kufungwa midomo. Zaidi naona kioo kilicho vunjwa, ambacho hapo kabla ya kuvunjwa kilionesha uchafu.
 
wenye kesi za rushwa siku hizi ni wabunge kutokea ccm kafanya mengi
 
Hivi mtu Mwenye akili kweli kabisa anaweza Kusema kuwa Road License imeondoshwa? Hivi imeondoshwa au imeongezwa? Akili zenu zinafanya kazi kweli
 

Ujenzi wa daraja la TAZARA ulianza awamu ya nne
 
Kaanzisha viwanda vingi haswa kile cha kununua madiwani na wabunge nampongeza kwa kiwanda hiki

Pili kafanikiwa kufunga bank kadhaa, wapiga dili wanalijua hili

Tatu kutufanya tuwe kamaRwanda haya ni maendeleo makubwa sana
 
Lazima tuheshimu mawazo yako lakin Kwani mtangulizi aliyepita haikufanya vitu vikubwa?naomba nikwambie serikali hii ina-brand sana vitu inavyofanya wakati ni jukumu lake laiti serikali iliyopita ingeziba watu midomo kama ivi na ingekua ina-brand vitu ilivyofanya kama hii ya sasa!watu wasiofutalia mambo kwa kina kama wewe mngejua Tanzania kwa sasa kiuchumi inakaribiana na Mjapani
 
Unatumia kiungo gani kufikiri ndugu
Rushwa gani aliyokomesha au huna habari mBUNGE wako karukiwa
 
*Nikiwa Rais nakupa uwazir! Yote tisa umetoa Elimu.

Kuna stori moja jamaa alikua anasomeshwa na kijiji, alivorudi baada ya kuhitimu walijaa watu kibao.nyumban kwao (wanakijiji) aka wananzengo..lengo walisikia bwana uyo kasomea udaktari, walikuja kupata huduma za kitabibu (matibabu na usahur wa kidaktari).

Ndipo Daktar uyo aliwashangaza kwa kuwambia wale watu wote kwamba amesomea udaktar wa wanyama... [emoji23][emoji23][emoji23]

#somo: Elimu ni ufunguo wa maisha ila inaweza kua pia kufuli isipotumika sahihi - budebajr
 
Hakika Mungu alijibu maombi mengi ya watanzania mwaka 2015 ambao walimlilia awape kiongozi bora.

JPM is the real deal.
 
Kwani hizo fedha alizotumia kufanya hayo mambo unayosema (kama ni kweli) alizitoa mifukoni mwake au alitumia kodi zetu? Jibu hili swali kwanza ahalafu nikuulize tena.
 
elimu bure imesaidia wanafunzi kuongezeka
Vituo vya afya vimeboreshwa
Urasimishaji wa makazi kwa wananchi
Nidhamu ya pesa hata kama ni kidogo
na mengine meeengiii
 
Huyo ndio magufuli _mikwara mingi hakuna anachofanya zaidi yakututishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…