Juhudi zako tuna ziona kwa matendo na si maneno Ahsante Raisi wetu wa watanzania wote.
 
Mmmmh..!Nakumbuka kuna Mheshimiwa wakati anatoka Madarakani Alisema kwa utani Mengine Nayaanza mimi ila atae kuja kumalizia ndie atakae sifiwa..Kwa hiyo Naomba nae umpe Heshima yake tu kwa kuanzisha mbio.[emoji35] [emoji35]
 
mpuuzi wewe,hana jipya hata moja,yye mwenyew mla rushwa,uwanja wa ndege shattlo umeidhnishwa na bunge?tenda ilitangazwa? bunge likipitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli amefanya makubwa kwa DSM MZA naona yeye ni raisi wa huko. Mimi naishi Kibondo sijaona hiyo barabara iliyojengwa kuunganisha KIBONDO KIGOMA KALIUA PENGINE IMEJENGWA KIMOYOMOYO/kisiasa Lakini kiuhalisia haipo
 
Prof ni mara ya tatu sasa unaDipu lakini line iko busy,ipo siku atapokea!

Magufuli ana double standards katika kutoa maamuzi, kwamfano tunasema anapiga vita rushwa lakini pale rushwa inapotendeka kwa manufaa yake na chama chale ccm hachukui hatua!!! kumbukeni rushwa aliyotoa DC wa Arumeru kuwahadaa madiwani wa Chadema kuhamia ccm, ushahidi ulikuwepo lakini akapuuzia na kuwadharau wananchi akampandisha cheo mtuhumiwa!!
 
Unajua inabidi tukae chini kwa pamoja,tuombe kwa pamoja na kusifu kile anachofanya Rais wetu
JPM Kwani nchi ilikuwa imeoza ila kwa hiki kipindi naona tutaenda sawa
 
Mimi sioni kama kuna haja ya kusema unahama nchi acha JPM anyooshe nchi
Hii inaitwa SERIKARI YA WANYONGE
 
Si kweli. Hana mahusano mazuri na wapinzani. Anachuki mbaya dhidi ya wapinzani. Anavisasi na kutaka maendeleo ya harakaharaka kwa kutegemea nguvu zake mwenyewe
 
Si kweli. Hana mahusano mazuri na wapinzani. Anachuki mbaya dhidi ya wapinzani. Anavisasi na kutaka maendeleo ya harakaharaka kwa kutegemea nguvu zake mwenyewe
In fact Magufuli ana uhusiano mzuri sana na wapinzani hadi anawateua katika serikali yake; hakuna serikali iliyowahi kuwa na wateule wa kutoka Upinzani ila hii tu. Inawezekana anapoteua kutoka wapinzania basi wale wasiopata kuteuliwa wanachukia sana na kudaia anawagawa. hebu angalia: Slaa, Mkumbo, Mrema, Mghwila, na sasa Kafulia wote hao waliteuliwa wakiwa siyo wana CCM! Sijui wewe unataka ushirkiano wa namna gani kama siyo kiutendaji. Anapowaziba midomo ya uwongo hao wapinzani basi wanachukia na kudai hashirikiani nao; mnataka awakubalie kwa kwa huo uwongo na uzushi wa kila siku. Majuzi tu wamesikiaka wakizusha eti trilioni 1.5 zimepotea wakati CAG hajaziona je wao waliziona katika mahesbau yapi; ndio wanaokagua vitabu vya serikali au ni CAG?
 
Si kweli kwamba anamahusiano mazuri na WAPINZANI. Ana mahusiano mabaya sana. Kwanza hataki challenge yoyote ile kutoka sehemu yoyote ile. Halitakii mema taifa kwenye mambo ya umoja na mshikamano wa kitaifa na kimataifa.
 
samahani naomba kuuliza eti ukijenga uwanja wa ndege chato hakuna watu wa dsm watakaofaidika na ukijenga barabara za mwendo kasi dar je wa chato atafaidika na nini
 
Kwenye mahitaji muhimu ni Stegler's Gorge hydroelectric project, Reli ya umeme, gesi kwenye matumizi ya gari na ya nyumbani, elimu na ujuzi hasa kwa kuwezesha skilled manpower kujitegemea sisi wenyewe na haya mafundisho yawe kwenye syllabus zetu za shule na vyuo. Waje wa nje kwenye win-win situation. Siyo hawa mabarrick. Lazima tupongeze Rais wetu kwenye juhudi zake zote hizo.
 
afu ujue unazingua sana we jamaa inama SGR hujaiona ama? mbona unasahau vitu muhimu kama
1.Kufufua TTCL
2.upanuzi wa bandari
3.ujenzi wa meli ziwa nyasa na nyingime ya victoria itasainiwa aiku yoyote kuanzia sasa
4.maendeleo ya mzungumzo ya ujenzi wa bandali ya bagamoyo ambayo yanaenda vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…