Kote amefaulu na kafaulu zaidi kwenye utoaji mikopo kwa wanachuo
na mikopo tu kwa wanachuo katoa sio mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...yaani alichowafanyia wanachuo huyo msukuma anajua yey na bashite wake make nahis ndo mshauli wake mkubwa
 




unatakiwa ufahamu kitu kimoja huwezi kufanya jambo lakimaendeleo hasa hasa kiuchumi pasipo fedha(bajeti)

ukishajua hilo unatakiwa kujua toka ameingia bajeti ilikuwa ya kipindi gani mpaka kipindi gani.

usije ukachanganya bajeti ya 2015 - 2016
na bajet ya 2016- 2017



ukitenganisha njoo tujadili alioyafanya
 
Kuipa nguvu vita ya madawa ya kulevya
Kuzuia safari za nje Kwa maofisa hivyo Kuokoa mabilion
Kuzuia safari za nje kwa maofisa gani? Mbona kinana kamtuma India kutibiwa ilhali Mke wake anatibiwa muhi2?
 
Rushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi
hata akifanya unavyo taka bdo wataihamia kwa mwingine kutsaka atumbuliwe
 
Hizo milioni 50 kila kijijini wala siwezi kumkumbusha maana najua hawezi kutoa.
Maendeleo hayaletwi kwa kutumia ubabe,dharau, kiburi, jeuri, nguvu , kwani kazi anafanya peke yake?
ndo atakuongoza bd miaka kam 8 sasa ccm oyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…