Mr. President ukimuondoa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere hakuna Rais mwingine aliyeweza kutokea mwenye uwezo mkubwa na akili kubwa kama wewe
Inafaa umhamishie kabisa nyumbani kwako umfaidi wewe na mkeo.
Hayo majambazi ya CCM unayosema kayashughulikia hatusikitiki yakiangamizwa hata na shetani mwenyewe toka jehenamu. Lakini hiyo haina maana kwamba kwa kufanya kazi hiyo wananchi tumkubali shetani mwenyewe.

Unalinganisha watu wasiostahili kabisa kulinganishwa.
 
Ahsante kwa kuja na Karibu sana mkuu.
Najua uwezo wako ndiyo umefikia hapo.
 
huu mradi unazinduliwa mara ngapi? maana hii ni kama ya nne au tano.!
 
Umetoa sifa nyingi sana kwa Mh. Rais, kwa mtazamo wako unadhani mapungufu ya Mh. Rais ni yepi na afanye nini kuondokana nayo ili nchi ipate mafanikio?
 
Mimi Ngajapo kwa akili niliyopewa na mwenyezi mungu na kuongeza kidogo elimu ya dunia (digrii) niliyonayo na akili niliyopata kutokana na mwenendo wa kimaisha. ni vigumu na haitawezekana kuniaminisha kwamba eti viongozi wa CCM waliopita wana ubora au unafuu katika uongozi kuliko Magufuli???? never ever!!!!

Hao viongozi waliopita mnaowasifia eti walikuwa bora kuliko Magufuli labda walikuwa wajomba zenu au mlikuwa mna maslahi nao lkn mimi nakataa hamtaniaminisha hata siku moja ili niwakubalie hoja zenu. Na sitaki niandike mengi lakini kila mmoja anajua udhaifu wao katika kusimamia rasilimali za taifa.
-Hao kila siku walikuwa wanafikiria kugawana rasilimali za nchi
-Nchi ilibaki ukiwa kama vile haina viongozi wa kitaifa.
-Muelekeo wa maisha ulikuwa mbovu, tulikuwa hatujui hatma ya maisha tunakolelekea.
-Viongozi wakati wote ni kufanya sherehe huku umaskini ukitamalaki kwa watanzania ukijaribu kupaza sauti unambiwa una wivu.
-Mjinga ndio anayemuongoza msomi, mfano bunge lijalo kama sio magufuli tungejikuta tunaongozwa na standard seven na wasanii ambao hata kutunga sera za nchi hawewezi zaidi ya porojo na vichekesho bungeni.

mambo ni mengi yalikuwa hovyo mno....acha tu magufuli abadilishe ili tuende sawa.
 
JPM is the REAL DEAL.

TANZANIA ILIKUWA INAMUHITAJI SANA.
 
Ule wimbo unaosema hakuna mwanaume kama Yesu, kwa kweli hajawahi tokea Mwanaume kama Yesu.
Tangu dunia iumbwe, na sasa Tanzania tumepata mwanaume ambaye ameweza kuwadhibiti wale waliokua wanakwapua fedha za walipa kodi na kuzileta mtaani, na kusababisha tija zero kwenye uchumi wetu.
Hela pekee inayokuja mtaani ni mishahara tu na ya miradi ya maendeleo.
Sasa kwa kweli nisiseme uongo huyu ndiewanaume anaesimamia 1 na iwe 1 na sio moja iwe 2.
Hongera JPM.
 

Haya mwanamke, tumekusikia.
 
Kwahiyo wewe na baba yako ni wanawake
Kama vp njoo tuwagonge miti kasi
 

Kaolewe nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…