KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Inafaa umhamishie kabisa nyumbani kwako umfaidi wewe na mkeo.Mr. President ukimuondoa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere hakuna Rais mwingine aliyeweza kutokea mwenye uwezo mkubwa na akili kubwa kama wewe
Hayo majambazi ya CCM unayosema kayashughulikia hatusikitiki yakiangamizwa hata na shetani mwenyewe toka jehenamu. Lakini hiyo haina maana kwamba kwa kufanya kazi hiyo wananchi tumkubali shetani mwenyewe.
Unalinganisha watu wasiostahili kabisa kulinganishwa.