Karudisha nidhamu kazini
Majambazi wamepungua sana
Ajali za Barabarani zimepungua kwa Kiasi kikubwa
Kapunguza mateja kwa kiwango cha Lami
Amerudisha heshima kwa serikali,watu waliifanya shamba la bibi.
Sasa hivi yupo kwenye vita kubwa na wauza Unga waliozoea kula kwa jasho la watu hii vita Ngumu ila Atashinda tu...hawa jamaa wamekariri hawataki kubadilika.
 
hamna kitu, hizo mbwembwe tu
ELIMU na AFYA ndivyo vitu muhimu na vimesaulika
 
Rushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi
bashite ni nani kwani alafu akiondolewa bashite ndio maendeleo yanakuja eti
 

Flyovers zote ni mwendelezo wa kazi za awamu zilizopita yeye apongezwe kwa kuhakisha ujenzi
Upanuzi wa JNIA ulianza awamu ya nne
 
90% ilikua kwenye pipeline aliacha kikwete
 
hak
hakuna nidhamu ndio maaana Mange anapata info kirahisi,sema kuna nidhamu ya woga
 
Ndo mnavyosema
Unataka kunambia hiyo hella aliokopa benki kuu na kuzunguka kutafta kula kwa kusema hatafanya ni uongo
Tatizo mnaponda bila maana
Wananchi mmekaa kuponda2 kuliko kuleta maendeleo
Ndo maana familia zenu zinawashinda
 
ndege zimefanya tukose dawa hospital sirikali haina cheda kabisa unaua 100 kupata 1
 
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi hasa wa rare profession kama madaktari, manesi, Lab techs na wengine maengineers walipo fields, kupunguza trip za Dodoma kwa gari na badala yake watu wakae huko maana inacost pesa nyingi DSA, na mengine kibao.,
 
umesahau uwanja wa ndege CHATO ghorofa la tra CHATO mataa ya barabarani CHATO na lile kolokoloni alilogeuza kua mzinga wa jeshi

ila swala la rushwa bado maana hata hiyo mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa sjasikis kesi iliyosikiliza Na nidham makazini hamna bali kuna nidham ya uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…