Una maana jamaa yupo vizuri kwenye matumizi ya mikopo kuliko waliomtangulia?Ndani ya hayo mafanikio, siku ukipata nafasi uje uanike deni la taifa limekuwa kwa kiwango gani ndani ya hiyo miaka minne ya hayo mafanikio.
maana hapo awali tulikuwa tukikopa na hatuoni chochote!