Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Si kweli, ni ushamba tu wa huyu Jamaa /Meko ndio tumeanza kusikia maendeleo ya madaraja.
Kikwete, Mwinyi, Mkapa na Nyerere hawakuwahi kuzungumzia na hata kuhangaika kuzindua vichochoro kama huyu jamaa afanyavyo, walijua ni vitu vya kawaida ila mfano Mzee baba mkapa alikuwa anakuja na takwimu za ajira mpya, uwekezaji mkubwa na mambo kama hayo, huyu phd holder ana mambo ya kishamba sana, yaani hotuba yake unaweza predict fro begining to the end, labda utakosea tu kwenye kutumbua na kudhalilisha wanawake, maana lazma achomekee yaliyomjaa moyoni, utaskia kama chakula kipo zalianeni tu , mimi nitawasomeshea bure ila hasemi ajira atawapatiaje.