APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Big up sana to himHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
ni asilimia ngap ya Watanzania wanaofaidika na hizi ndege,aache kuwezeka kwenye maji, elimu, hosp.ajira, anawezekeza kwenye upuuzi (ndio upuuzi maana ni hasara tupu)Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Ndiyo Maana Nasema
Hii Bhaghoshaa 😀😁🤣😃😄😅
Ndege Hii Inatupa Raha Sana
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzani.
Unaweza kutuwekea mchanganuo hapa?shirika ambalo halijawahi tengeneza faida, shirika linalo tia hasara kila siku
wataalamu wa anga kila siku wanapata hasara pia (Kenya,South, Ethiopia) sisi tunafurahia kuona ndege na sio kufikiri kama zina faida ama hapana
Unaweza kutuwekea mchanganuo hapa.Hela ya kuajiri mwanao au mtoto wa ndugu yako, ndio inatumika kuendesha hili shirika huko faida yake hujawahi ambiwa ni kiasi gani kama ipo.
Hela ya kuongeza mshahara wa mkeo ili akusaidie kulea wanao au akopesheke zaidi benki mfungue kamradi kuwasaidia ndio inatumika kununua hizi ndege huku ukaguzi wa mahesabu ya hili shirika tunaambiwa hata CAG kwa sasa hawezi kukagua kisa tumelihamishia vote 2000!!!
hata taarifa hufatilii ilisemwa bungeni iyo. endelea na mapambio yako ya kipumbavu bila kujua hakuna faida inayo tengenezwaUnaweza kutuwekea mchanganuo hapa?
Au unaropoka tu kwakuwa umesikia Zitto kasema basi na wewe unasema?
unavyo dai mchanganuo kama unaweza usoma, we ni kilaza acha kudai mambo yanayo kuzidiUnaweza kutuwekea mchanganuo hapa.
Ww unafanya biashara gani mkuu, faida unajua inapaswa kupatikana kwa interval ya muda gani..UBER mwaka wa 9 huu toka waanze hawajawahi kupata faida, ukijenga fremu ya duka au ukajenga nyunba na kupangisha sidhan kama utategemea kupata faida just kwa mwaka au miaka 2.. Kafanye biasha au projects endelevu utajua ninachosema na anachofanya pombeshirika ambalo halijawahi tengeneza faida, shirika linalo tia hasara kila siku
wataalamu wa anga kila siku wanapata hasara pia (Kenya,South, Ethiopia) sisi tunafurahia kuona ndege na sio kufikiri kama zina faida ama hapana
Wakati nyie mkifurahia kupokea DreamlinerNinakupongeza kwa kuamua kwa dhati kulifufua shirika letu la Ndege.Penye ukweli lazima usemwe inawezekana wapo watakaobeza jitihada zako, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa hatukuwa na ndege za serikali kwa muda mrefu.
Kifupi sana kama taifa kuna mambo mengi ya kufanya lkn hatuwezi kuyafanya yote kwa pamoja hivyo kuna Yale ambayo yamepewa kipaombele kama kuimalisha shirika letu la ndege.
Hongera tena Rais kwa maamuzi magumu yenye tija kwa taifa letu siku za usoni.Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu Dr.John Pombe Joseph Magufuli.
Ninakupongeza kwa kuamua kwa dhati kulifufua shirika letu la Ndege.Penye ukweli lazima usemwe inawezekana wapo watakaobeza jitihada zako, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa hatukuwa na ndege za serikali kwa muda mrefu.