Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Ninakupongeza kwa kuamua kwa dhati kulifufua shirika letu la Ndege.Penye ukweli lazima usemwe inawezekana wapo watakaobeza jitihada zako, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa hatukuwa na ndege za serikali kwa muda mrefu.

Kifupi sana kama taifa kuna mambo mengi ya kufanya lkn hatuwezi kuyafanya yote kwa pamoja hivyo kuna Yale ambayo yamepewa kipaombele kama kuimalisha shirika letu la ndege.

Hongera tena Rais kwa maamuzi magumu yenye tija kwa taifa letu siku za usoni.Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu Dr.John Pombe Joseph Magufuli.
 
shirika ambalo halijawahi tengeneza faida, shirika linalo tia hasara kila siku

wataalamu wa anga kila siku wanapata hasara pia (Kenya,South, Ethiopia) sisi tunafurahia kuona ndege na sio kufikiri kama zina faida ama hapana
 
Haya asanteni kwa pongezi zenu! Mkafanye kazi sasa, maana nimechoka kusifiwa muda wote. Mnashinda humu masaa 24, kazi yenu ni kunisifia tu! Pesa nilizonunulia hizo ndege zimetokana na kodi zenu.

jpm.
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi

Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
ni asilimia ngap ya Watanzania wanaofaidika na hizi ndege,aache kuwezeka kwenye maji, elimu, hosp.ajira, anawezekeza kwenye upuuzi (ndio upuuzi maana ni hasara tupu)
 
Hela ya kuajiri mwanao au mtoto wa ndugu yako, ndio inatumika kuendesha hili shirika huko faida yake hujawahi ambiwa ni kiasi gani kama ipo.

Hela ya kuongeza mshahara wa mkeo ili akusaidie kulea wanao au akopesheke zaidi benki mfungue kamradi kuwasaidia ndio inatumika kununua hizi ndege huku ukaguzi wa mahesabu ya hili shirika tunaambiwa hata CAG kwa sasa hawezi kukagua kisa tumelihamishia vote 2000!!!
 
Hoja yako ni nzuri ila kwenye kutumia neno mnyonge mm sikubaliani na wewe kwa sababu rais wetu hajawahi kuwa mnyonge ni mtu jasir na mwenye udhubut siku zote
 
shirika ambalo halijawahi tengeneza faida, shirika linalo tia hasara kila siku

wataalamu wa anga kila siku wanapata hasara pia (Kenya,South, Ethiopia) sisi tunafurahia kuona ndege na sio kufikiri kama zina faida ama hapana
Unaweza kutuwekea mchanganuo hapa?

Au unaropoka tu kwakuwa umesikia Zitto kasema basi na wewe unasema?
 
Hela ya kuajiri mwanao au mtoto wa ndugu yako, ndio inatumika kuendesha hili shirika huko faida yake hujawahi ambiwa ni kiasi gani kama ipo.

Hela ya kuongeza mshahara wa mkeo ili akusaidie kulea wanao au akopesheke zaidi benki mfungue kamradi kuwasaidia ndio inatumika kununua hizi ndege huku ukaguzi wa mahesabu ya hili shirika tunaambiwa hata CAG kwa sasa hawezi kukagua kisa tumelihamishia vote 2000!!!
Unaweza kutuwekea mchanganuo hapa.
 
Unaweza kutuwekea mchanganuo hapa?

Au unaropoka tu kwakuwa umesikia Zitto kasema basi na wewe unasema?
hata taarifa hufatilii ilisemwa bungeni iyo. endelea na mapambio yako ya kipumbavu bila kujua hakuna faida inayo tengenezwa

NB. Nafurah kujua zzk ni miongoni mwa wenye akili/uelewa mkubwa huku ww na vilaza wenzio kazi yenu kushangilia
 
shirika ambalo halijawahi tengeneza faida, shirika linalo tia hasara kila siku

wataalamu wa anga kila siku wanapata hasara pia (Kenya,South, Ethiopia) sisi tunafurahia kuona ndege na sio kufikiri kama zina faida ama hapana
Ww unafanya biashara gani mkuu, faida unajua inapaswa kupatikana kwa interval ya muda gani..UBER mwaka wa 9 huu toka waanze hawajawahi kupata faida, ukijenga fremu ya duka au ukajenga nyunba na kupangisha sidhan kama utategemea kupata faida just kwa mwaka au miaka 2.. Kafanye biasha au projects endelevu utajua ninachosema na anachofanya pombe
 
Ninakupongeza kwa kuamua kwa dhati kulifufua shirika letu la Ndege.Penye ukweli lazima usemwe inawezekana wapo watakaobeza jitihada zako, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa hatukuwa na ndege za serikali kwa muda mrefu.

Kifupi sana kama taifa kuna mambo mengi ya kufanya lkn hatuwezi kuyafanya yote kwa pamoja hivyo kuna Yale ambayo yamepewa kipaombele kama kuimalisha shirika letu la ndege.

Hongera tena Rais kwa maamuzi magumu yenye tija kwa taifa letu siku za usoni.Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu Dr.John Pombe Joseph Magufuli.
Wakati nyie mkifurahia kupokea Dreamliner
IMG-20191026-WA0013.jpg
, huko Tanga Wadigo na Wabondei hawawezi kufanya shughuli za kiuchumi kwa vile barabara yao imeharibiwa na mafuriko jana. Angalia picha hapo
 
Attachments

  • IMG-20191026-WA0014.jpg
    IMG-20191026-WA0014.jpg
    109.8 KB · Views: 2
"lindege letu ni likubwa hafu lizury sana" ila kuna kitu kimoja nmemisi kwenye maonyesho haya yanayoenda mubashara kupitia vyombo mbali mbali vya habali shida yangu ni 'kuwazoom wale wadada wenye sare za rangi za blueee" wadau tupieni picha...
 
Kabla ya kumsifu mkimbiaji wapongeze wanao mkimbiza.

Ilibidi uwasifu walipa kodi watanzania maana hizo ndege zisingeweza kununuliwa bila pesa za walipa kodi

Back
Top Bottom