Utaolewa weweHela ya kuajiri mwanao au mtoto wa ndugu yako, ndio inatumika kuendesha hili shirika huko faida yake hujawahi ambiwa ni kiasi gani kama ipo.
Hela ya kuongeza mshahara wa mkeo ili akusaidie kulea wanao au akopesheke zaidi benki mfungue kamradi kuwasaidia ndio inatumika kununua hizi ndege huku ukaguzi wa mahesabu ya hili shirika tunaambiwa hata CAG kwa sasa hawezi kukagua kisa tumelihamishia vote 2000!!!
Hakuna anaesaliti nchi,mitazamo haiwezi kuwa sawa twatofautiana binadamuHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Issue siyo waliokuwapo hawakutaka bali walitaka kufuata taratibu za uidhinishwajj bajeti za nchi na Sheria ya Manunuzi. Vilevile walikuwa wanaangalia Vipaumbele muhimu kama barabara, elimu, afya na maji.Ninakupongeza kwa kuamua kwa dhati kulifufua shirika letu la Ndege.Penye ukweli lazima usemwe inawezekana wapo watakaobeza jitihada zako, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa hatukuwa na ndege za serikali kwa muda mrefu.
Kifupi sana kama taifa kuna mambo mengi ya kufanya lkn hatuwezi kuyafanya yote kwa pamoja hivyo kuna Yale ambayo yamepewa kipaombele kama kuimalisha shirika letu la ndege.
Hongera tena Rais kwa maamuzi magumu yenye tija kwa taifa letu siku za usoni.Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu Dr.John Pombe Joseph Magufuli.
Mambo ni mengi yenye maana yapo hapa tunaweza kuyajadili na sio hili lako kiongozi punguza gadagada mfeme katika siasaKile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa, mmebaki tupu sasa
Katika kutatua shida za wananchi ...huwezi kusolve shida zote kwa wakati mmoja....ndiyo maana Serikali inatatua changamoto kwa awamu kulingana na bajeti hapa Serikali inajaribu kubeba kila jambo kwa umhimu wake kwa awamu....hii Serikali ni ya awamu ya 5 mbona hizo kero hazikutatuliwa Huko nyuma?Ni kweli tumeona mafanikio ila mafanikio mengi yanakuwa upande ya watu wenye uwezo tu..kuna jamii mida huu inapata janga la maji na wakati huo huo serekali kwa hela zetu inanunua ndege sasa hapo unakuta tatizo sio maendeleo ila pia ni kuumia kwa raia
Anautafuta uteuziMkuu,
Wewe siku nzima ni kusifu tu mambo ya meko
Utakuwa mwanasiasa wewe
Kama ni hivo ataupataAnautafuta uteuzi
Ova
Hao ni bora liendeeeeKama ni hivo ataupata
Maana hakuna Mtu anmsifu meko humu ndani zaidi yake
Wanapata tabu Sana.Mnahangaikaaaa lakini ukweli ni kwanba watanzania wamegoma kutawaliwa na hiyo kitu.
Kuna wengine nao kila sekunde ni kupinga tu!Mkuu,
Wewe siku nzima ni kusifu tu mambo ya meko
Utakuwa mwanasiasa wewe
Kiki zingine hazina hata maana. Mtumie ujumbe akupatie Kitengo huku sidhani kama anapitaga.Huyu mtu ni mzalendo hasa
Wapiga dili hawana hamu,mafisadi yamepoteana,wauza madawa ya kulevya chali
Wakulima wanafurahia,wamachinga wanafurahia, mamantilie wanafurahia
Wanafunzi wanasoma bure
Ukienda Tra Hakuna kuzungushwa
Mkopo chuo kikuu yakutosha
Muungano umeimarika
Midege imependezesha anga ya Tanzania
Kufuzu kombe la Africa kwa Taifa stars mara mbili mfululizo
Wacha waisome namba eeee
Ganja bhanaHuyu mtu ni mzalendo hasa
Wapiga dili hawana hamu,mafisadi yamepoteana,wauza madawa ya kulevya chali
Wakulima wanafurahia,wamachinga wanafurahia, mamantilie wanafurahia
Wanafunzi wanasoma bure
Ukienda Tra Hakuna kuzungushwa
Mkopo chuo kikuu yakutosha
Muungano umeimarika
Midege imependezesha anga ya Tanzania
Kufuzu kombe la Africa kwa Taifa stars mara mbili mfululizo
Wacha waisome namba eeee