List 255
JF-Expert Member
- Oct 26, 2019
- 270
- 538
Utaolewa weweHela ya kuajiri mwanao au mtoto wa ndugu yako, ndio inatumika kuendesha hili shirika huko faida yake hujawahi ambiwa ni kiasi gani kama ipo.
Hela ya kuongeza mshahara wa mkeo ili akusaidie kulea wanao au akopesheke zaidi benki mfungue kamradi kuwasaidia ndio inatumika kununua hizi ndege huku ukaguzi wa mahesabu ya hili shirika tunaambiwa hata CAG kwa sasa hawezi kukagua kisa tumelihamishia vote 2000!!!