Hivi kule Makongo pia kuna Lami?Sasa hivi hata usipopanda gari unafika mjini haujachafuka kabisa
Hivi kule Makongo pia kuna Lami?
Sasa hapo umeandika nini , Idiot.Kwani unafikiri hao World Bank wanaweza kuja tu kufanya miradi hapa TZ. Kwanza ni nyinyi mliokuwa mnashangilia kuwa tumenyimwa misaada na WB kwa sababu ya Sheria ya Takwimu?
Hawajala lakini kusifu awamu hii kumekuwa lazima ili ule maana hiyo ndio hapa kazi tu ingawa wengi wanasifu na kusifu kwa mazoea wanalala njaa. Wengi wamegundua hili ndio maana sifa zimepungua mpaka viongozi wanazunguka na ma-MC wa kuhamasisha wananchi wapige vigelegele kwa viongozi kwenye mikutano ya hadhara. Bila MC mikutano ya viongozi inakuwa kama ya kilio maana yanayosemwa nchi nzima wakati wote SGR, ATCL na Stigler Gorge tu. Wananchi wamechoka kusikia wanataka kupata huduma siyo kusikia mipango, mipango mkakati, michakato au mabilioni yatakayotumika kukamilisha miradi.Hapo Lumumba mmekula mchana kweli??
Kamuulize Mdee na kiburi chake na mwaka kesho anafungasha virago!