YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Vyura mitaani walikuwa kero kubwa mtu ilikuwa vigumu kulala hasa ukiwa na nyumba jirani na barabara yenye mashimo ambayo mvua ikinyesha yalikuwepo madimbwi ambayo vyura walikuwa wakiibuka wakipiga miyowe usiku kucha Kama wamelewa gongo au wamevuta bangi hivyo kukosesha usingizi wakazi wa karibu na maeneo hayo.
Baada ya barabara za lami kujengwa mitaani tunalala usingizi mnono .Vyura wametoroka mitaani kukimbia serikali ya awamu ya tano mitaani.
Na Kama mjuavyo chura na barabara ya lami ni vitu viwili tofauti huwezi ona maruhuni chura akiwa juu ya barabara ya lami iwe kukaa au kuvuka barabara ya Lami.Magufuli kawashikisha adabu
Awamu ya tano hoyee