Mkuu ulikuwa hujui hilo?

Wewe utakuwa mswahili wa Uzaramuni!
 
Kwa akili yako unadhani kafanya Haya kwa kutumia fedha halali? Binafsi naamini ni fedha za watumishi wa umma ! Kwanini! Pigs hesabu annual increments ambazo hajalipa kwa Miaka minne ni shilling ngapi? Nauli wanazo stahili kulipwa wakati wanaenda likizo ni kiasi gani? Fedha za NHIF zimeenda wapi? Jiongeze
 
Katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumeshuhudia Rais wetu akisimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.

Ni katika nchi hii tuliaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo mheshimiwa rais amesema hela zipo hapa na nje hatoki na miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?

Badala ya kulalamika tujifunze mbinu anazotumia kupata fedha. Tuache kufanya kimoja kimoja kama tunaendesha familia zetu. Tukumbuke hii ni nchi siyo familia.
Rais wetu ana akili nyingi sana.

Tena katika kipindi cha miaka hii minne hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this.

Kwa wakati mmoja amefanya yafuatayo na yote yanatambaa.:

1. Ujenzi wa barabara zote zinaendelea na zina kamilika kwa wakati.

2. Ujenzi wa bwawa la umeme unaendelea na mkandarasi yuko sight

3. Ujenzi wa hospitali na vituo vya afya umekamilika kote nchini

4. Ujenzi wa stand za kisasa za mabasi nchi nzima

5. Ujenzi wa masoko nchi nzima

6. Ujenzi wa machinjio za kisasa

7. Ujenzi reli unaendelea

8. Ununuzi wa ndege

9. Uanzishwaji wa viwanda nchi nxima. Hadi sasa viwanda vimefufuliwa na kujengwa upya zaidi 4000.

10. Madawa supply ipo constantly kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali ya taifa

11. Usambazaji wa umeme mijini na vijijini unaendelea kwa kasi

12. Elimu bure inaendelea

13. Mishahara inalipwa kwa wakati.

14. Upanuzi wa viwanja vya ndege

15. Kuhamia Dodoma walisema hawezi sasa ameweza. Na amejenga temporary offices za wizara na permanent Ikulu.

16. Ujenzi wa hospitali ya uhuru

17. Ununuzi wa vivuko na meli

Yote haya yanakwenda kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this coz anakuwa na planning.

Sasa vilaza ndo wanalalamika wanaona maajabu. Jamani ni kawaida tu msishangae tunachapa kazi. Na zote zitakamilika kwa 100% tumpe nafasi rais wetu achape kazi vilaza acheni kulalamika.

Usifikirie kama unaendesha familia yako fikiria kama unaendesha nchi. Hatutaki twende na kimoja kimoja nchi kubwa hii hatuta fika kwa wakati tunaotaka.

Tumechelewa mno, tumeibiwa mno.

Badala ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya rais wetu watu tuache kubeza juhudi hizi. Tumshukuru Mungu ampe afya njema rais wetu ili tufike mbali. Baada ya kipindi chake yawezekana tusipate mwingine kama huyu.

Tuache genius wetu afanye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi mnakwama wapi nyie wapinzani, msipokua makini Magufuli atawafunika mpaka mkose pakutokea, hamuna hoja, mumeishiwa kabisa, kama mtakwenda hivi kwenye uchaguzi wa 2020, bila shaka mtaisha na kufutika kwenye daftari.
Mleta mada ameleta hoja za maana sana zinazopaswa kujadiliwa ili Watanzania watathmini maendeleo ya rais, nyie mnajibu kwa vituko.
 
Non Sense!!! Ulivyoanza Kusema nchi nzima ndio nikaona haupo serious!
 
Ungejua magufuli anachukiwa na wananchi wengi usinge kuja na huu upumbavu.


Mwenyewe anajua

Ushahidi serikali za mitaa.

Pamoja na mikelele yite hii bado mkaiba ushindi.


Tatizo mnadhani kindege hii ndio inamsaidia mwananchi.


Poor strategy na mtapata taabu sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbaavuu watapinga watakuambia hakuna miradi mikubwa aliyofanya magufuli kama ya IPTL chini ya kikwete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Give facts, tuonane 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwenye kampeni za uchaguzi wa raisi 2020 Genius JPM hata ongea. Atashika karatasi ndefu tatu;
1. Ahadi ilani ya uchaguzi 2015
2. Utekelezaji wa ahadi 2015 -2020
3. Ilani ya uchaguzi 2020-2025

Nina hakika wananchi watashangaa amewezaje kutekeleza kwa kasi hiyo!! Na ndipo watasema kwa sauti kubwa moja BABA CHAPA MWENDO TUWAHI KUFIKA ! TULICHELEWESHWA SANA ! wapinzani wake watabaki kukimbilia nchi za mabeberu na mashirika chonganishi ya kimataifa na wasiambulie kitu Bali ahadi na kupozwa kwa lugha .

JPM 100% PRESIDENT 2020-2025
 
Wananchi wanao mchukia ni humu JF country mmoja wapo wewe !😁 taaabu tupu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…