Wapinzani wameingiaje hapa. Mnajua kusifia tu,kukosoa hamjui
 
Ukiona unadai gawio kutoka kwa taasisi za serikali ambazo kimsingi zinatakiwa kutoa huduma, ujue hapo sekta binafsi ipo mochwari
 
Wewe ni mbumbumbu first grade. Huhitaji rocket science kuelewa mambo madogo. Unaelewa tunatumia kiasi gani kuservice deni kwa mwaka kama nchi. Unajua hio mikopo imeleta tija gani mpaka sasa. Nitajie nchi moja ya Africa imeendelea kwa kuwa na madeni makubwa. Huwezi enda kukopw milioni mia bank hafu ukr useme mimi ni milionea. Jaribu kutumia ubongo hata kwa asilimia 1 tu. Nchi hii ni maskini na masikini ya kutupwa ni sawa na mtu unaidhi kwenye pagale umekopa kununua Hummer umepaki nje. Shida ni kuwa tumekuwa na ushabiki wa kijinga uliofifisha mpaka uwezo wa kufiri kila kitu YES YES YES. Kama umezaliwa buguruni na sehemu ya mbali umeenda ni Bagamoyo basi shida si wewe shida ni exposure na uwezo wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Amekamilisha ujenzi wa hospital ya rufaa ya mkoa wa Mara (kwangwa). Ilianza kujengwa na mwl jk Nyerere hakuikamilisha akaishia ujenzi wa msingi. Ni zaidi ya miaka 30 lakini Chuma cha chato kimeikamilisha ndani miaka mi4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukikopa hela inakuwa yako au ya aliyekukopesha??? Tukiwa na wananchi wenye akili kama hizi hatuwezi songa mbele Coz waoga wa kukopa kufanya maendeleo yao binafsi. Deni hata sasa kila mwezi analipa shida iko wapi. Na tunakopa lakini kinachofanyika tunaona. Zamani tulikuwa tunakopa ila matokeo hayaonekani. Acheni tuchape kazi.

Tukutane 2020
Mtoa mada anadai pesa zinapatikana humu humu. Hajui kama deni la taifa linakaribia kufikia red line

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa lete hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu.
Hivi nchi za USA, EU na CHINA hazidaiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa mdogo. Gawio ni kwa mjibu wa sheria ya hisa. Miaka yote mashirika yanasema yanapata hasara. Lakini hawaishi kulipana posho, magari ya kifahari na mishahara mikubwa lakini hawataki kutoa gawiwo. Sema hamjazoea mtaelewa tu. Unafikiri kwanini watu wanapenda kuajiriwa maahirikani kuliko serikalini tamisemi mfano. Shida ya watanzania wajuaji mno hadi mnakera
Ukiona unadai gawio kutoka kwa taasisi za serikali ambazo kimsingi zinatakiwa kutoa huduma, ujue hapo sekta binafsi ipo mochwari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu.
Hivi nchi za USA, EU na CHINA hazidaiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza nchi zipi za Africa. Kuna kitu kinaitwa economic inteligence wengi hamna. Swali la kizushi nchi inatoa mikopo tena kwa masharti nafuu wanakopa ili iwaje? Siku ukipata jibu ya hilo swali hutauliza maswali laini laini kama ivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo serikali inataka kutumia taasisi zake kufanya biashara badala ya kutoa huduma ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa bure? si ajabu ukienda mhimbili utaambiwa kipimo ni shilingi laki moja wakati ni hospitali ya serikali ambapo serikali inalipa wataalamu mishahara na kila kitu, haya endeleeni kudai gawio hapo mhimbili...
 
Thread mbovu kabisa ya kufungia mwaka. Utakuwa umetumia kamasi na siyo ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sawa JPM ni mwizi, wewe je?
 
PhD yake ulimwandikia wewe. Kwani lazima English ajue. Nchi ngapi hata hawajui English and yet they are ommunicate.

None sense.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense ni wewe, anashindwaje kuelewa Kiingereza wakati 'supposedly' alitakiwa kuwa amekianzia form one katika masomo yake mpaka kupata hiyo 'PHD' kama ni kweli anayo. Mtofautishe na yule aliyesoma mosomo yake kwa lugha tofauti na Kiingereza, elimu yake inatia shaka hence low self-esteem na kutisha/kudhuru/kuua watu ili aogopwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…