mkuu hakuna kitu kama hiko.. nasema no! 11trions kwa airpot tu? kwa uchumi upi walonao Ethiopia.
 
Tuwekee link tuone hiyo faida unayotuaminisha wahabeshi wamepata.
 
JPM aka Ngosha
Kwanza nianze kwa kukupongeza awamu ya tano umediliki na umezubutu kufanya mambo kaza wa kaza nice!!!!!!!!
All da best View attachment 1324130

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika zote ulizozitaja ipi iliyokamilika zaidi ya ukuta wa mererani ambao hata mtu binafsi anaweza kuujenga
Aliyoyafanya kikwete
1. Sekondari za kata nchi nzima
2. chuo kikuu dodoma
3. Bomba la gas
4. Kinyerezi
5. Mabarabara ya lami
6. Hospital ya mlugazira
7. Daraja la kigamboni
Maandalizi aliyoyaacha
1. Daraja la tazara
2. Interchange ubungo
3. Sgr railway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.

Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa Stars Mh. Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

CCM hoyeeee. Taifa stars hoyeeee!

Maendeleo hayana vyama!
 
Hapa nazungumzia SERA bwashee!
 
CCM imemsaidiaje Mbwana Samatta kwenye carrier yake?
Naomba ufafanuzi tafadhali
 
johnthebaptist kwa hiyo ni sera au nini ,kikubwa ambacho kwa jicho la tatu naona hapo samata ameangalia umri wake ulivyomtupamkono ,pia kwa sababu alikuwa na ndoto ya kucheza ligi kubwa kama England ameona ni heri kuweka CV ya kucheza Astonvilla lakini nimpongeze kwa uamuzi huo najua lolote linaweza tokea hiyo timu ipo kwenye ule mstari mwekundu wa kushuka daraja hawana namna championship inamuhusu mwakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…