johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeshapanic!CCM imefanya Nini katika matanikio ya Samatta? Huu ni uzezeta mwingine wa CCM kuanza kudandia mafanikio ya mtu na kusema ni wao ndio wamemfanikisha. Chama Cha Mazezeta ni hatari kwa ustawi wa taifa
Nipanikishwe na mwanachama wa Chama Cha Mazezeta, ambaye anashindwa kutetea maneno yake mwenyewe kwa hoja? Kweli zezeta huona kila mtu ni zezeta mwenzieUmeshapanic!
Jamaa kaniwahi sana, na mimi nilitaka kuuliza, mbona kama hili limekupanikisha.Nipanikishwe na mwanachama wa Chama Cha Mazezeta, ambaye anashindwa kutetea maneno yake mwenyewe kwa hoja? Kweli zezeta huona kila mtu ni zezeta mwenzie
Hahahaaaa....... Hahahaaaa........!!!Nipanikishwe na mwanachama wa Chama Cha Mazezeta, ambaye anashindwa kutetea maneno yake mwenyewe kwa hoja? Kweli zezeta huona kila mtu ni zezeta mwenzie
Team yenyewe mbn kama meli inazamaaaaMh Samatta atatutangaza sana kimataifa bwashee!
Hahahaaaa....... Bujibuji kapanic kweli kweli!Jamaa kaniwahi sana, na mimi nilitaka kuuliza, mbona kama hili limekupanikisha.
Wanatania tu..
Atakuwa mchezaji wa kwanza mwafrika kuwa na timu ulaya, hii ni historia itakayoiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia.Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.
Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!
Maendeleo hayana vyama!
Ile siyo kama Yanga au Simba bwashee!
Hatuzungumzii uafrika wake bwashee bali utanzania wake uwe unaelewa!Atakuwa mchezaji wa kwanza mwafrika kuwa na timu ulaya, hii ni historia itakayoiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia.
Bwashee mara ya mwisho kupima Malaria ni lini?Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.
Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!
Maendeleo hayana vyama!
Huku Machame hakuna malaria bwashee!Bwashee mara ya mwisho kupima Malaria ni lini?
Hebu acha kuingiza itikadi za kisiasa kwenye kila jambo mkuu, FIFA hawataki siasa kwenye soka.Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.
Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!
Maendeleo hayana vyama!
Kwakweli tushukuru Juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano mpaka Samatta amesajiliwa Uingereza. Kumbuka pia ni Serikali hii hii ilifanikisha tukio la Kupatwa kwa Jua kule Mbeya.CCM imefanya Nini katika matanikio ya Samatta? Huu ni uzezeta mwingine wa CCM kuanza kudandia mafanikio ya mtu na kusema ni wao ndio wamemfanikisha. Chama Cha Mazezeta ni hatari kwa ustawi wa taifa
Bwashee michezo imo kwenye Ilani ya CCM!Hebu acha kuingiza itikadi za kisiasa kwenye kila jambo mkuu, FIFA hawataki siasa kwenye soka.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app