Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.

Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!

Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa mchezaji wa kwanza mwafrika kuwa na timu ulaya, hii ni historia itakayoiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia.
 
Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.

Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee mara ya mwisho kupima Malaria ni lini?
 
Ilani ya CCM imeendelea kutekelezwa kwa umakini mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo maendeleo ya jamii na vijana.

Leo Salim Kikeke wa BBC amehabarisha juu ya nahodha wa Taifa stars mh Mbwana Samatta kufanyiwa vipimo tayari kabisa kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya England inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

CCM hoyeeee.........Taifa stars hoyeeeee.........!

Maendeleo hayana vyama!
Hebu acha kuingiza itikadi za kisiasa kwenye kila jambo mkuu, FIFA hawataki siasa kwenye soka.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nzuri ya uongozi mpya wa chadema wamefanikisha usajili wa samata hahahaaaaaaaa kidumu chama cha baba mkwe wake.
 
CCM imefanya Nini katika matanikio ya Samatta? Huu ni uzezeta mwingine wa CCM kuanza kudandia mafanikio ya mtu na kusema ni wao ndio wamemfanikisha. Chama Cha Mazezeta ni hatari kwa ustawi wa taifa
Kwakweli tushukuru Juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano mpaka Samatta amesajiliwa Uingereza. Kumbuka pia ni Serikali hii hii ilifanikisha tukio la Kupatwa kwa Jua kule Mbeya.

Imefanyaje fanyaje, kwa kweli hata mimi sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom