Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha kikwete ulikuwa unajua habari za rushwa kubwa kwa sababu aliruhusu Transparency.Maendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu
Kipindi cha kikwete ulikuwa unajua habari za rushwa kubwa kwa sababu aliruhusu Transparency.
Ni watu ambao mnaendeshwa na mapenzi ya vyama hamtaki kufumbua macho, sisemi kama hajakomesha, lakini ni vyema angeruhusu masuala kama ya ununuzi wa ndege,ripoti ya former CAG kujadiliwa, suala kama la Kangi kujadiliwa ili lijulikane kiundani,kivuko alichokikabidhi jeshi kijadiliwe manunuzi yake(sababu ilitia shaka).
Kwa watu wa chini mtu anaesema siku hizi hakuna rushwa sababu hajasikia Dowans n.k muulize kama ana gari Traffic wanafanyaje?Kama ni malaya muulize zile bar wanakojiuza mwenye bar anatumia ujanja gani, kama ni dereva wa basi muulize katika mizani siku hizi vipi?
Hint, siku hizi watu wanachukua cash tena kwa dollar sometimes wanakaa nazo home ili wasiwe traced kirahisi
😃😃😃 Husda inatoka wapi?Au uko "programmed" kutaja maneno kama hayo mtu wa "pwani"?Sasa transparency ya JMK aliwezesha miradi ipi ambayo leo hii tungekuwa tunamsifia? Kwa haraka tu nakumbuka vigenerator kila kona ya maduka Dar Es Salaam vile vile haikuwa rahisi kupanda ndege za kwetu wenyewe Watanzania. Barabara mbovu pamoja na mwelekeo wa watoto wa JMK nao kuwa marais huko mitaani. Rushwa ilitamalaki madini waliokuwa wanafaidi ni makampuni kutoka nje nk. Husda ni kitu kibaya kwa afya yako.
😃😃😃 Husda inatoka wapi?Au uko "programmed" kutaja maneno kama hayo mtu wa "pwani"?
Ili upimwe katika issues kama hizo lazima tu observe good governance ambayo hiyo Transparency iko ndani yake...
Halafu kuhusu miradi hata JK wenu,nasisitiza wenu "kijani" nae ana miradi yake aliyomalizia na kuanzisha; mwendokasi, udom,kilometa kibao kadhaa za lami JPM akiwa Waziri,kutanua wigo wa udahili elimu ya juu n.k.,kuleta Foreign Direct Investment kubwa "Dangote"...ambayo ni ya thamani ya almost 1.38 T kwa rate ya 2300/-.....
Kwa hiyo wewe kama mwana CCM haustahili kuniambia nchi ilikuwa inaliwa huyu sasa anatukomboa,wakati ni "ile ile" ila kwa sasa watu na bunge limevaa barakoa...
Tungeshakuwa mbali sana, lakini hatujafika, and we are not ready to take another risk ati akae mpaka achoke, nchi sio ya kifalme hii tufuate katiba na taratibu za sheria.
"Umaamuma ni hatari kwa uhai wako"
We jamaa ni "kajinga"😃 una akili za kibaamedi, niamini. Nilikuwa najibu kuhusu "kukomesha rushwa" ukaja kuhusu miradi, nikakuonyesha hata yule wenu mwingine kuna miradi alifanya, umehamia katika suala jingine.Sasa transparency ya JMK aliwezesha miradi ipi ambayo leo hii tungekuwa tunamsifia? Kwa haraka tu nakumbuka vigenerator kila kona ya maduka Dar Es Salaam vile vile haikuwa rahisi kupanda ndege za kwetu wenyewe Watanzania. Barabara mbovu pamoja na mwelekeo wa watoto wa JMK nao kuwa marais huko mitaani. Rushwa ilitamalaki madini waliokuwa wanafaidi ni makampuni kutoka nje nk. Husda ni kitu kibaya kwa afya yako.
https://www.jamiiforums.com/members/drat.105178/ said:Hivi una akili:-
a)Timamu
b)Zimezid
c)Zimepungua
********rudi katika first reply yako uone concern yangu ni ipi, na wewe ukaleta JPM vs JMK.
Wapi na mimi nimesema umesema hafuati katiba?😃, acha hizo POV za ki "buza barmaid".
Wapi nimesema asifuate katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Wacha kukariri twende na facts sio mihemuko ya kukariri. Come on with those facts then we can discuss.
Ndio nilikuwa nataka hivyo, sipendi kabisa nimefika "bar" kupata kinywaji kistaarabu, nina refresh halafu "baamedi" anaanza kung'ang'aniza story za "huwa unakunywa beer za ndani, mimi nakunywa amstel ninunulie(HATUJAMALIZA)unaanza mwone shoga yangu anapenda vitenge kuliko vimini(SIJAKAA SAWA) unaniletea simu yako nione PICHA😃.Huna hoja wewe, naku-ignore officially.
Ona sasa "baamedi" unavyoleta u "layman".Eti uchumi unavyopanda lazima maisha yawe magumu😃😂.....hii ipo katika course ya "bongo macro economics" au "lumumba microeconomics".Uchumi unavyopanda maisha lazima yawe magumu. Maisha hayawezi kuwa raisi hata siku moja, unaweza kunitajia ni nchi gani ambayo imeendelea na maisha ya raia wake ni rahisi? Nafahamu huwezi kujibu hilo bali utakaa na kulialia tu na kuwewesekaweweseka. Chapa kazi mkuu malipo ni hapa hapa duniani.
kwa hiyo obama akija bongo kuosha macho ni kukosa uzalendo?Tuacheni mihemko tumsifu pale alipopatia maana nchi ilikuwa imeoza.
Fikiri mkuu hajaenda hata dubai kuosha macho kwa Uzalendo wake.
Mishahara waliongezwa kipindi kilee ndio wanaufanyia kazi sasa, kipindi kile walikula mishahara ya bure.[emoji2960][emoji2960][emoji2960], maisha magumu kwa asiejituma kupiga kazi, mimi mbeba mizigo hapa sokoni mbona maisha kawaida tuu. Hapo kwa WASTAAFU vyeti feki na wafanyakazi hewa waliAthiri ila imani tunayo patakaa sawa.[emoji39][emoji39][emoji39]Wapi tija? Mbona maisha ni magumu?,ajira Hakuna, mmeshindwa ongeza hata mishahara,kulipa wastaafu mafao,acheni propaganda za kuwadanganya futureless people wanyonge maadamu tu mnashiba
Labda kazi ya kuleta umasikini nchini.