Pyuza madale
Member
- May 26, 2020
- 5
- 4
Baba laoooo
Kwa kwel mweshimiwa raisi ana fanya kazi sana tumpe kura zetu tu tena @Blasto Ngeleja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba laoooo
Hiyo haina ubishi.. Kura zetu amezipata na leo ni ushindi wa asilimia 98Kwa kwel mweshimiwa raisi ana fanya kazi sana tumpe kura zetu tu tena @Blasto Ngeleja
Comment yako imenifanya nisikitike sana. Kwa sasa kinchoitwa maendeleo ni Dar na kanda ya ziwa tu.Kazibiti maeneo ya mjini tu ila vijijini uzembe kazini kama kawaaa, barabara huku hazipitiki Tabora to Mbeya na Tabora to Mpanda lakini Dar kuna flyover.[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiweza kuruhusu maswali baada ya kutoa hotuba itapendeza sanaHofu na Woga wanayo wale wote waliokuwa wabadhilifu. Maana kwa sasa hawawezi kufanya yale yote yaliyokuwa yakifanyika wakati huo.
Hamna lolote maisha magumu tuSido Industrial park ya 5b chato....
Kalime nanasi msoga hahhahaAjira za walimu wa masomo ya sanaa na wengine masomo ya sayansi hakuna kuanzia mwaka 2015 up to now,, mmmmmmm hatwarii
Sent using Jamii Forums mobile app
Umoja na mshikamano upi uliovurugwakuvuruga umoja na mshikamano uliokuwepo ili kuendana na "divide and rule policy"
Hiyo ni miundo mbinu ya kiuchumi, huwezi kuelewa kama una kiwango cha hali ya juu cha umbumbumbuYote hayo yamemsaidia vipi mwananchi alieko Tandahimba?
Kawaulize wa huko Tandahimba ndio watakupa jibu mujarabu kabisa!Yote hayo yamemsaidia vipi mwananchi alieko Tandahimba?