Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Hivi vinamsaidia nini MTZ aliyepo Malinyi Morogoro kunakolimwa sana mpunga? Watu wa mijini tu ndio wananufaika na kodi za waTz? au hivi vina contribution gani remarkable kwa uchumi wa nchi? Kwa nini tusishugulike zaidi na kilimo, Afya na Elimu?
Wanaweza kupata huduma kwa uhakika maana shughuli zao zinategemea Jiji la Dar.
 
Ni ngumu sana watu kuuelewa ukweli. Na kamwe tusitaraji watu wote kuunga mkono. Kuna watu Ni Kama gari la takataka, wanatafuta pa kutua take zao. So watakutukana, watakuponda na kukubeza sana hata Kama utakuwa umeusema ukweli. Basi kikubwa wapungie mkono tu usonge mbele na maisha yako. Utazame ukweli kwa jicho la upevu wake na kuwaona wabeba taka ukiwatakia heri ya maisha yao. Punga mkono songa mbele. Yale mazuri tupongeze anapojikwaa tukosoe kwa lugha inayoeleweka...
kutua take..Mkuu you mean "taka"
 
Amefanikiwa kuanzisha mjadala utakaoleta matokeo chanya katika sekta ya madini na raslimali nyingine
Viva JPM Vivaaa...

Nidhamu iliyotangulia kuoneshwa na hawa jamaa wa Barrik Gold itafungua milango kwa wawekezaji wengine kufuata nyayo na pia kwa Watanzania imekuwa na maana kubwa sana... Tukio hili limewajengea moyo wa uthubutu utakaowawezesha kufanya maamuzi mengi kwa manufaa ya taifa hili
Kwahio umeridhia kuanzishwa mjadala na Wezi!!..wht do you think Wewee??
 
Sina maneno mengi
Ila kwa haraka haraka naona watanzania wengi hasa walionyimwa elimu wanavyomshabikia Magufuli na kuhisi ataweza kuifanya Tanzania kama nchi moja wapo zenye maendeleo Africa ambayo itafanana na baadhi ya nchi za ulaya
Mmepigwa fix suala la makinikia mkadanganywa kwamba fedha tutakazolipwa na barrick zinatosha kwa kila mtanzania kununua Noah mkashangilia
Hivi kwa viongozi wa kiafrica mnadhani wanaweza kubadilisha nchi zao zikawa kama ulaya? Wengi wamejawa na uchu wa madaraka ,ubabe,nongwa,visasi na fitna ,hawataki kuwaunganisha watu wao wakafanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya nchi
Ndo mana waafrica tuna umaskini wa kutupwa kutokana na tabia mbovu,ulaghai,ubinafsi na undugulization wa viongozi wa africa
Wale waSouth mnawaona wana maendeleo ya viwanda,majengo na miundombinu mizuri ya barabara, reli n.k ni kutokana na makaburu kuitwala south na kuona ni potential kwao wakaijenga,katoka Mzee madiba mzalendo kaingia Thabo mbeki kazingua,kaja Zuma ndo hawamtaki kabisaaaa
Sasa hapa Bongo sijaona kiongozi mzalendo wote ni kutafuta kiki kama kweli kiongozi mkuu ni mzalendo aweke katiba mpya itakayoruhusu kunyonga rais akizingua wakati wa utawala wake,iruhusu bunge limkatae rais na kumwondoa madarakani,iwepo katiba ya kufukuza wabunge wote wazembe yani wananchi wawe na mamlaka ya kumfukuza kazi mbunge wao,iwepo katiba ya kupunguza madaraka ya rais,iwepo katiba ya kutengua kauli za rais juu ya maamuzi Fulani
Nchi zote zilizoendelea zina katiba za namna hii so wabongo kuanza kumshabikia JPM eti ni mzalendo upuuzi kwa katiba hii mbovu,kwa elimu na ujinga wa watanzania ni upuuzi ,bado tunasafari ndefu hatuwezi kumshabikia mtu ambae ana kinga hata akivurunda kwake poa tu.
NB: Nakaribisha povu na kukosolewa
 
Mkuu nchi hii walio wengi hata elimu ya darasa la saba tu hawana,na walio nayo bado uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo ndo maana wengi wanadanganyika karahisi na viongozi wapenda kiki
 
Sina maneno mengi
Ila kwa haraka haraka naona watanzania wengi hasa walionyimwa elimu wanavyomshabikia Magufuli na kuhisi ataweza kuifanya Tanzania kama nchi moja wapo zenye maendeleo Africa ambayo itafanana na baadhi ya nchi za ulaya
Mmepigwa fix suala la makinikia mkadanganywa kwamba fedha tutakazolipwa na barrick zinatosha kwa kila mtanzania kununua Noah mkashangilia
Hivi kwa viongozi wa kiafrica mnadhani wanaweza kubadilisha nchi zao zikawa kama ulaya? Wengi wamejawa na uchu wa madaraka ,ubabe,nongwa,visasi na fitna ,hawataki kuwaunganisha watu wao wakafanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya nchi
Ndo mana waafrica tuna umaskini wa kutupwa kutokana na tabia mbovu,ulaghai,ubinafsi na undugulization wa viongozi wa africa
Wale waSouth mnawaona wana maendeleo ya viwanda,majengo na miundombinu mizuri ya barabara, reli n.k ni kutokana na makaburu kuitwala south na kuona ni potential kwao wakaijenga,katoka Mzee madiba mzalendo kaingia Thabo mbeki kazingua,kaja Zuma ndo hawamtaki kabisaaaa
Sasa hapa Bongo sijaona kiongozi mzalendo wote ni kutafuta kiki kama kweli kiongozi mkuu ni mzalendo aweke katiba mpya itakayoruhusu kunyonga rais akizingua wakati wa utawala wake,iruhusu bunge limkatae rais na kumwondoa madarakani,iwepo katiba ya kufukuza wabunge wote wazembe yani wananchi wawe na mamlaka ya kumfukuza kazi mbunge wao,iwepo katiba ya kupunguza madaraka ya rais,iwepo katiba ya kutengua kauli za rais juu ya maamuzi Fulani
Nchi zote zilizoendelea zina katiba za namna hii so wabongo kuanza kumshabikia JPM eti ni mzalendo upuuzi kwa katiba hii mbovu,kwa elimu na ujinga wa watanzania ni upuuzi ,bado tunasafari ndefu hatuwezi kumshabikia mtu ambae ana kinga hata akivurunda kwake poa tu.
NB: Nakaribisha povu na kukosolewa
huyu tuliye naye ana IQ ndogo bahati siasa zetu zinatoa mianya kwa watu wa aina yake kupenetrate
 
Tatizo la hii nchi watu ni mabashite kwa kwenda mbele,elimu hakuna,upeo hakuna hawawazi hata mambo ya dakika mbili zijazo mbele.
 
kuna maneno anayatoa kwenye speech zake unajiuliza hivi huyu aliwezaje kupata degree. masters na phd
 
Nafikiri tukifanikiwa kupata Noah zetu tutakuwa zaidi ya Ulaya kwa vile tutakuwa nchi ya kwanza duniani ambayo kila mwananchi anamiliki gari!CCM hoyeeee!!!Zidisheni maombi tafadhari.
 
Tatizo la hii nchi watu ni mabashite kwa kwenda mbele,elimu hakuna,upeo hakuna hawawazi hata mambo ya dakika mbili zijazo mbele.
Mkuu nchi hii vilaza wengi sana,na ndo wanaotukwamisha kuleta madiliko ya kweli nchini. hawa ndo wanaoipigia kura ccm kila uchaguzi, itatuchukua muda mrefu sana kubadilika.
 
Watakuelewa wenye akili timamu tu. Hebu ngoja nibugie balimi kwa spidi kama vile jamaa walivyobugizwa viepe vikavu siku ileeee!
 
kuna maneno anayatoa kwenye speech zake unajiuliza hivi huyu aliwezaje kupata degree. masters na phd
mkuu usihangaike kuhusu hilo phd yenyewe haijahakikiwa,utajuaje kama sio feki.
ben sanaane alisema hakiki phd akapotea.
 
Mkuu nchi hii vilaza wengi sana,na ndo wanaotukwamisha kuleta madiliko ya kweli nchini. hawa ndo wanaoipigia kura ccm kila uchaguzi, itatuchukua muda mrefu sana kubadilika.
Tena muda mrefu sana mkuu, maana ukiangalia mambo ya hovyo yanayofanyika lkn bado watu wanakenua na kushangilia ndo unagundua kuwa hii safari bado sana.
 
Uwezo mdogo wa kufikiri mawazo yanakuwa finyu,watanzania wanaongozwa kwa matukio,likiisha hili la makinikia tutaletewa jingine ili tusahaurishwe na uhalisia wa maisha magumu. Tatizo wakiwa nalo wengi hugeuka faraja.
 
mkuu usihangaike kuhusu hilo phd yenyewe haijahakikiwa,utajuaje kama sio feki.
ben sanaane alisema hakiki phd akapotea.
MTU msomi anakomalia issue ndogo ya vitoto vilivyobeba ujauzito

MTU mwenye PhD speech yake anasema
hawafurukuti! hawaniwezi! watakoma! hawanitishi! wasinidrive! hatuna kiongozi aisee!!
 
Back
Top Bottom