kiparangwaya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 528
- 502
Wanapinga hata watu kuuliwa na kuwekwa kwenye sandarusi!Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.
Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,
Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.
Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.
Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .
Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.
Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.
Wanapinga hata elimu bure,
Wanapinga hata suala la watumishi hewa.
Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme
Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.
Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app