Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.

Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,

Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.

Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.

Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .

Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.

Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.

Wanapinga hata elimu bure,

Wanapinga hata suala la watumishi hewa.

Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme

Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.

Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapinga hata watu kuuliwa na kuwekwa kwenye sandarusi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kipindi bila unafiki huendi kokote, sifia upate kitu, jipendekeze upate kitu, kuwa mbali ukose kila kitu, hii ndio tanzania ya sasa !!duh maisha haya naogopa hata kusema
 
Wakuu
Natangaza Rasmi kumuunga mkono Raisi Magufuli na sitompinga tena labda niwe nimevuta bangi ndio nitampinga pole pole lakini kwa haya maendeleo namuunga mkono moja kwa moja.
Kilivhonifurahisha ni wali maharage nimekula kwa shilingi 1000 , huku nikapewa na chai ya bure na kwa mbele wanajenga barabara ya lami,
Ubarikiwe Raisi Magufuli wewe ni kiongozi wa mfano tena unafaa kuigwa mzee wangu.
 
Kilivhonifurahisha ni wali maharage nimekula kwa shilingi 1000 , huku nikapewa na chai ya bure na kwa mbele wanajenga barabara ya lami,

Naona umeanza kushoboka na hizo kabichi za mpito.

Unabadili maamuzi kisa wali maharage, zamani ulikuwa unampinga kwa kipi.??? au ushaanza kuvuta Bangi
 
Safi, hata ukipinga isingesaidia kitu maana yeye ndo alichaguliwa kutekeleza sera za CCM.
 
Hiyo mimi sasaaaaa
Wakuu
Natangaza Rasmi kumuunga mkono Raisi Magufuli na sitompinga tena labda niwe nimevuta bangi ndio nitampinga pole pole lakini kwa haya maendeleo namuunga mkono moja kwa moja.
Kilivhonifurahisha ni wali maharage nimekula kwa shilingi 1000 , huku nikapewa na chai ya bure na kwa mbele wanajenga barabara ya lami,
Ubarikiwe Raisi Magufuli wewe ni kiongozi wa mfano tena unafaa kuigwa mzee wangu.
 
Wakuu
Natangaza Rasmi kumuunga mkono Raisi Magufuli na sitompinga tena labda niwe nimevuta bangi ndio nitampinga pole pole lakini kwa haya maendeleo namuunga mkono moja kwa moja.
Kilivhonifurahisha ni wali maharage nimekula kwa shilingi 1000 , huku nikapewa na chai ya bure na kwa mbele wanajenga barabara ya lami,
Ubarikiwe Raisi Magufuli wewe ni kiongozi wa mfano tena unafaa kuigwa mzee wangu.
Haya ndiyo madhara ya kufakamia wali maharage asubuhi asubuhi
 
Habari wanaJf,
Kama kichwa tajwa hapo juu kinavyojieleza.
katika awamu hii ya Mh.JPM nimekuwa nikisikia kwenye hotuba na hata vipindi kadhaa vya radio/Tv kuhusianisha kila linalofanywa katika miradi mbalimbali mathalani,barabara/reli,maji,umeme n.k kuwa ni awamu ya tano ndio inafanya/kutekeleza kwa ufanisi wa kiwango cha kutukuka...Kwamfano,Jana baada ya taarifa ya habari TBC taifa(redio),huwa inafuata "tafakuri baada ya habari" ambapo kwa siku ya jana wazo kuu lilikuwa ni "UBUNIFU"..pamoja na mengi aliyoyasema msimulizi,aliyataja mafanikio ya ujenzi wa barabara mbalimbali nchini,elimu n.k kama mafanikio aliyoyaita UBUNIFU wa serikali ya awamu ya tano,tena alisisitiza katika maana ya neno hilo kwa kusema ni ule uwezo wa kuwa na wazo na kulifanya wazo hilo kuwa kitu halisi na kwahili,awamu ya tano inakuwa ndio yenye "ubunifu"..
nashindwa kuelewa ni kwanini awamu hii mambo mengi yanayofanywa,"serikali ya JPM" mara "serikali ya awamu ya tano"
 
kwa maelezo yako, hakuna sababu ya JPM kuzunguka 2020 kuomba Kura kwa watu ambao tayari ameshawafahamisha kila siku aliyoyafanya.
 
Wakuu
Natangaza Rasmi kumuunga mkono Raisi Magufuli na sitompinga tena labda niwe nimevuta bangi ndio nitampinga pole pole lakini kwa haya maendeleo namuunga mkono moja kwa moja.
Kilivhonifurahisha ni wali maharage nimekula kwa shilingi 1000 , huku nikapewa na chai ya bure na kwa mbele wanajenga barabara ya lami,
Ubarikiwe Raisi Magufuli wewe ni kiongozi wa mfano tena unafaa kuigwa mzee wangu.
Dah! Umenikumbusha wali maharage ktk kampeni za chama....CCM wali maharage mko juu...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Safi sana mkuu angalia pembeni utaona bomba jipya linamwaga maji safi.
 
Back
Top Bottom