Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Pia atakumbukwa kwa kuwatumbua watumishi hewa na wenye vyeti bandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zinakwenda mbio sana ila hatuna budi ku endelea kumuunga mkono Magufuli
[emoji3502]Elimu bure
[emoji3502]Kaliimarisha Shirika la Ndege [Atcl]
[emoji3502]Kaboresha Miundombinu Reli, barabara mjini na vijijini hususani kwa kiwango cha lami
[emoji3502]Kaongeza na kuboresha Vituo vya Afya kila kata
[emoji3502]Karejesha nidham serikalini na kuleta uwajibikaji wenye tija
[emoji3502]Mabeberu kila uchao wanatutengenezea mazingira ya kumchukia JPM ,Kwa ushawishi wao wanarubuni vijana kufikia hadi kudiriki kuwatusi Viongozi..
[emoji828]Ila Kwa maslahi mapana ya taifa letu, Magufuli amelijenga Taifa ipasavyo.
[emoji3502]Tukumbuke kuwa kila analofanya Magufuli ni kwa ajili ya Maslahi ya Taifa letu
[emoji3502]Watanzania wengine wanashindwa kutofautisha wema na ubaya..Ila Ipo siku Magufuli tutamkumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakumbukwa na wasioijulikana na mkuu wao wa Dar na Musiba wake
Sisi tutamkumbuka kama Raisi wa kwanza kuichambia Katiba
Kweni magufuli amedondoka kutoka mbinguni si alikuwa kwenye system hiyohiyo[emoji828]Wamepita Marais wengi JMT lkn huyu JPM ameweka usawa sana..Anapenda Win win situation...
[emoji828]Nakukumbusha kuwa kabla ya ZJPM kuja
[emoji828]Makampuni makubwa yalifanya kazi nchini bila kulipa kodi
[emoji3502]Kila mtu alikuwa boss nchi hii
[emoji828]Twiga walipanda ndege
[emoji3502]Ujambazi ulishamiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweni magufuli amedondoka kutoka mbinguni si alikuwa kwenye system hiyohiyo
Acheni kulawiti fikra za mtanzania kwa cheap Propaganda zenu za kijinga
View attachment 1305509
Zaidi ya watu kuuliwa na wengine kupigwa risasi kwenye viwanja vya Bunge tukufu watu kutekwa na kupigwa mpaka kutotambulika sioni la ziadayanayoendelea Nchini baada ya Kuja JPM
Zaidi ya watu kuuliwa na wengine kupigwa risasi kwenye viwanja vya Bunge tukufu watu kutekwa na kupigwa mpaka kutotambulika sioni la ziada
Tutamkumbuka kuwa Rais wa hovyo kupata kutokea nchi hii. Siamini kuwa kuna uwezekano akawepo Mtanzania ambae akipewa urais atakuwa hovyo kuzidi Magufuli.
Magufuli ni SI unit ya urais mbovu.
SGR ya umeme ikianza kufanya kazi ndio atakua amemaliza mchezo, Dar-Moro-Dodoma-Tabora-Mwanza/Kigoma watu watakua wanatumia treni ya umeme, umbali wa safari utapungua, unapiga mishe zako baina ya Dar na Mwanz
Safari zisizo kuwa za kiuchumi no upoyoyo kuziwaza, sgr ilikuwa kwenye ilani ya chama cha mapinduzi lakini mradi ulitakiea uende sambamba na ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo lakinibandari imewekwa kapuni hatujui hatujui inajengwa lini
Hahahaahahaaaaa,Taasisi yako inaitwaje?Alinenalo mtu ndilo limsumbualo kama hilo ni tatizo kwako njoo nikupe msaada Nina Taasisi inayosaidia watoto wenye IQ kubwa kuwasomesha kwa shule za Tanzania mpaka chuo kikuu
Rubbish*2020 TUMEMCHAGUA RAIS MAGUFULI ATUONGOZE*
Heri ya Mwaka mpya 2020 Ndugu yangu Mtanzania. 2020 ni Mwaka mwingine wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea kuongoza. Naam! Watanzania tumemchagua Rais Magufuli aendelee kuongoza 2020 ili tuone kazi aliyoianza inakamilika ipasavyo na Watanzania wananufaika na matunda ya kazi hiyo.
(i) Kuhamia Dodoma
Wazo la Serikali kuhamia kwenye makao makuu ya nchi mkoani Dodoma liliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere mwaka 1973 lakini lilishindwa kutekelezwa katika awamu zote. Si awamu ya kwanza, wala ya pili, ama ya Tatu au ya nne bali limeweza kufanikiwa kwenye utawala wa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli. Leo hii karibia Serikali yote imehamia Dodoma. Wizara, taasisi na idara za Serikali, Waziri Mkuu wameshahamia Dodoma mpaka Rais Magufuli naye amehamia Dodoma. Iliasisiwa na Mwalimu Nyerere, ikahaidiwa kwenye ilani ya uchaguzi, imekuja kutekelezwa vyema na Rais Magufuli lakini uhamiaji huu ni kwa awamu awamu. 2020 Watanzania tumemchagua Rais Magufuli akaimalizie hii kazi iliyokwama hapo awali bali yeye ameiweza kwa kuhakikisha Serikali kamili pamoja na idara zake zinahamia Dodoma.
(ii) Ujenzi wa Stiegler’s Gorge ama Mto Rufiji
Utawala wa awamu ya kwanza uliokuwa ukiongozwa na Mwalimu Nyerere ulikuja na wazo la kujenga Stiegler’s Gorge mnamo mwaka 1981 lakini umeshindwa kufanyika mpaka awamu hii ya 5 inayoongozwa na Rais Magufuli umeamua kufufua na kuliendeleza wazo hili ambalo pasipo ushujaa na ujemedari wa Rais Magufuli basi usingefanyika. Mradi wa Stiegler’s Gorge kupitia Mto Rufiji utafanikiwa kuzalisha Megawattz 2115 hadi utakapo kamilika ambapo utakuwa umeme mkubwa kuzidi huu unaotumika sasa. 2020 Watanzania tumemchagua Rais Magufuli ahakikishe ukamilifu wa mradi huu ambao utajenga uhakika wa umeme nchini, utashusha bei ya umeme nchini na pia utasaidia kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Ni kwa uwepo wa uongozi imara wa Rais Magufuli pekee atasimamia vyema ukamilifu wa mradi huu ambao ni mkombozi wa umeme mjini hadi vijijini.
Pamoja na changamoto zote Dkt Kalemani: Hadi kufikia leo vijiji 8,818 kati ya vijijini 12,000 nchini vimepata umeme kutoka vijiji takribani 2,000 ushee tu vilivyokuwa na umeme 2015. Mwaka 2020 tumemchagua Rais Magufuli akamilishe kazi ya kusambaza umeme vijiji vyote nchini vilivyosalia.
(iii) Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)
Ni takribani miaka 120 ambapo historia iliandikwa mwaka 1912 kwa Serikali ya kikoloni kujenga Reli inayotumia dizeli. Leo hii kwenye sekta ya reli Rais Magufuli amefanya makubwa. Kwanza amefufua usafiri wa Dar - Moshi uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 25; Ameimarisha usafiri wa reli wa Dar - Dodoma - Kigoma ambapo sasa ni wa uhakika zaidi.
Tuachane na hayo, kuna hili la ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha Standard gauge (SGR) ambapo awamu ya kwanza imeanzia Dar - Morogoro na baadae Morogoro - Dodoma na kumalizia Dodoma - Mwanza kukamilisha umbali wa Kilomita 1219.
2020 Watanzania tumemchagua Rais Magufuli ahakikishe ukamilifu Reli hiyo ulete tija kwenye usafirishaji, Kilimo, utalii, uzalishaji na kibiashara. SGR itakuwa na uwezo wa kubeba tani milioni, 10,000, kwa mkupuo sawa na malori 500 yenye tani 20, Treni tano zenye tani 10,000 na kuwa na kasi kubwa ya 160km/saa, tofauti na ya sasa ambayo inakasi ya 30km/saa, kwa Afrika itakuwa ni Reli pekee yenye uwezo mkubwa kama huo, tani Miliomi 10-17 zitasafirishwa kwa mwaka, kwa hiyo SGR ni mwamba sekta ya usafirishaji nchini.
Itaendelea ...
T2020JPM
Subiri posho yako ya siku!Tatizo lako kila kitu ni siasa shauri yako