Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Then, alijishtukia hata yemwenyewe maana aliona watu wanashangaa ,kifupi ni utani😂😂eti na waliowauzia mafundi chakula walipata ajira😂😂😂 si utani huu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then, alijishtukia hata yemwenyewe maana aliona watu wanashangaa ,kifupi ni utani😂😂eti na waliowauzia mafundi chakula walipata ajira😂😂😂 si utani huu...
Baada ya uchaguzi,huu msemo wenu utakuwa hivi " 2025 TUNA JAMBO LETU" 😂😂😂😂Mkuu nilichosikia mitaani ni kwamba wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, graduates na wanavyuo, October 28, 2020, eti WANA JAMBO LAO. 😀
Hapa napeleleza jambo lipi?
Everyday is Saturday...............................😎
Ni kweli ukiwa ccm mambo safiCCM inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa kujiharibia yenyewe, sehemu waliposhinda upinzani ndo vijana, wamama, bodaboda, wababa wananufaika kwa mikopo, hongo na maendeleo mfano Arusha, Mbeya, Moshi, Iringa nenda Mwanza walipomchagua Wenje na sasa vijana wanalia wamesaulika sasa hapo utamshawishije mtu achague CCM akose maendeleo Kama kijijini hata Sasa hivi kawe watu wanakula kwa Ngwajima kwasababu ya upinzani na kwenye ngome ya upinzani hela nje nje.
Mmh badoViwanja vya wapi vimeshuka..!?
Mishahara imeongezwa lini..!?
Hiyo heshima ya kazi iliyorudi, ALIISHUSHA NANI..!?
Bado nini..!?Mmh bado
Fake ID nyingi za MATAGA mmeshalipwa posho zenu? Maana tunasikia mmelalama ukata!!WanaJF, Takwimu hazidanganyi kwa wale waliosoma takwimu za kimataifa ni dhahiri tupo uchumi wa kati.
Kampeni za CCM zimepelekea maelfu ya wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara kujaza viwanja na kufurika.
Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania sasa wanapatiwa elimu bora kuliko wakati wowote ule tangu uhuru wa Taifa hili, wanafunzi hawa wanaajirika na kukubalika kimataifa.
Leo hii wafanyakazi wa serikali na wale wa sekta binafsi wamepunguziwa kodi kwa asilimia kubwa sana kuanzia mwezi July 2020. Punguzo la kodi limeongeza uwezo wa jamii kuuza na kununua.
Upande wa wafanyabiashara kodi zimekuwa rafiki zaidi ukilinganisha na miaka mitano kabla ya JPM, Wafanyabiashara wanaruhusiwa kulipa kodi kwa majadiliano na Mamlaka ya mapato TRA.
Aidha, Maelfu ya wanafunzi wameajiliwa serikalini kuanzia mwaka 2014. Sekta ya afya zaidi ya madaktari mia sita wameajiriwa,Karibuni zaidi ya ajira elfu kumi na tatu za walimu zimetangazwa.
Kwa upande wa wakulima mambo ni mazuri zaidi, Wakulima wa nafaka na mikunde serikali imeimarisha uhimilivu wa bei hivyo bei kutoyumbishwa na madalali wachache,Hali hii imepelekea wakulima kulima na kuuza kwa wakati,Zao la korosho limeimarika kwa kipindi cha miaka mitano baada ya serikali kuingilia kati watu waliotaka kushusha bei kwa manufaa binafsi,Serikali iliamua kununua korosho zote na kulipa kwa wakati.
Ni furaha,na Upendo kila kona ya nchi hii,Mzunguko wa pesa ni mzuri kwa wajasiriamali walio wengi na hii imepelekea kila mtu kula ,kununua na kufanya atakalo bila kuvunja katiba ya nchi.
Tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi kwa maendeleo ya watanzania wote.
Hoja hujibiwa kwa hoja bali si kwa matusi,Mwenye kupinga alete takwimu zake hapa JF.
Je, hatupo uchumi wa kati?
Je, wanafunzi graduate wa udaktari na ualimu hawajaajiriwa?
Sema wew ndio humtaki na kwa faisa yako tu kabla hujafanya maamuzi utakayo yajutia no vyema hiyo tarehe 28/10/Ukapigia kura Ccm ili tuendeleze mema na mazuri tulio yaachaHatakiwi kabisa huyu John
Yani kama kuna kitu hukijui ni kwanamna gani nchi yetu ilikuwa na sasa tumefikishwa wapi kwa aliyoyafanya Magufuli ndomana unaongea vitu vya hovyoTHE LOST,
Mkuu kitu pekee ninachojua ni kwamba magufuli ameharibu nchi yetu sana na kumpa tena nafasi ni usaliti kwa nchi yetu na watoto wetu
Kwa uandishi wako tu wa hili neno urahia badala uraia inaonyesha wazi kuwa hata hujui kinachoendelea nchini ila tu unafata upepo kama benderaKama kuna mafanikio mbona kuzuia watu wasitoe dukuduku lao? Mbona kuzuia wakosoaji wake wote wasiseme alikoharibu? Uharibifu ni mwingi sana kuliko mafanikio. Katika kipindi hichi cha Magufuli ndio kipindi deni la Taifa limepaa kuliko nyakati nyingine zote tena wizi na rushwa vimepamba moto, miladi mingi yenye mikataba ya kifisadi imefanyika chini ya Magufuli uku uchumi wa nchi ukisinyaa, uchumi wa mtu mmoja mmoja ukishuka kwa kasi ya ajabu uku haki za kirahia zikiendelea kuporwa.
Una uhakika gan kwamba magufuli kaharibu nchi ifikie hatua mtu apate sifa hata kwa mema mchache alofanua sio kulaumu tuYani kama kuna kitu hukijui ni kwanamna gani nchi yetu ilikuwa na sasa tumefikishwa wapi kwa aliyoyafanya Magufuli ndomana unaongea vitu vya hovyo
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mazuri ya kutekana na kuuwana? Hatutaki.tarehe 28/10/Ukapigia kura Ccm ili tuendeleze mema na mazuri tulio yaacha
Mimi na familia yangu hatumtaki pia. Mema aliyoyafanya yanatosha tuwaachie wengine.Sema wew ndio humtaki na kwa faisa yako tu kabla hujafanya maamuzi utakayo yajutia no vyema hiyo tarehe 28/10/Ukapigia kura Ccm ili tuendeleze mema na mazuri tulio yaacha
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Magufuli oyeeeeeee
Umeiona ubungo lakini?OKTOBA 28 MCHAGUE JPM KUYAENDELEZA HAYA AMA MKATAE KUYAONDOA.
- Biashara zimekufa na zilizopo hazina matumaini ya kustawi.
- Hali za maisha ya watu imekuwa hoi.
- Raia wana hofu ya kutekwa na kuuawa kila mahali.
- Hali za wakulima ziko hoi kwasabb bei za mazao zimeporomoka.
- Wafanyakazi hali zao mbaya kwasabb mishahara yao haijawahi kuongezeka tangu Kikwete aondoke madarakani.
- Vijana wanaomaliza vyuo wamekosa matumaini kwasabb serikali haitoi ajira.
- Sekta binafsi imekuwa adui wa serikali (inazidi kuminywa).