Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

Comments ngapi zimekuunga mkono kwenye huu upumbavu uliyoandika kwenye Uzi wako?
Galileo alipingwa Sana na watu wengi pale alipokuwa anasimamia ukweli hadi anakufa . Lakini mwisho wa siku watu wakaja kufahamu kuwa alikuwa sahihi na wao walio kuwa wengi hawakuwa sahihi. Kwa hiyo lazima ufahamu ya kuwa ukweli hapimwi kwa idadi ya watu wanao uunga mkono au kupinga .
 
Kwa hiyo wew na familia yako mmelizika na masharti ya mkataba wa DP WORLD?
 

Attachments

  • 4918016-a60a3cc9ab8d7931512cd1bfa339418d.mp4
    343 KB
Kwa hiyo wew na familia yako mmelizika na masharti ya mkataba wa DP WORLD?
Kwa hiyo hapo ndio pana masharti ya DP world kwenye hiyo video? Hata Hivyo hapo kwenye hiyo video mh Rais alimaanisha kuwa viongozi na watumishi wote waridhike na vipato vyao vilivyopo kwa mujibu wa sheria na siyo kuingia Tamaa ya kutaka kujipatia vipato kwa njia haramu.
 
Luca,hivi maparachichi kilo moja ni shilingi ngapi kwa bei ya soko?
 
Hana mafanikio yeyote na hana uwezo kabisa kiakili na kimaadili kuongoza nchi.
 
Hana mafanikio yeyote na hana uwezo kabisa kiakili na kimaadili kuongoza nchi.
Huna adabu wewe.angekuwa haja uwezo tungepata mafanikio haya makubwa katika uchumi na kila eneo? Wewe bila shaka una matatizo ya akili yanayohitaji matibabu ya haraka sana
 
Jibu swali kuhusu masharti ya mkataba wa DP WORLD. Hiyo picha nimekuonyesha tu tabia za huyo mama mkwe wake Mchengelwa asivyotakiwa kuaminiwa hata kwa sekunde
 
Your browser is not able to display this video.
Haya ndio mafanikio?
 
Chawa kama chawa😂
Katika ubora wa kichawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…