Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

Comments ngapi zimekuunga mkono kwenye huu upumbavu uliyoandika kwenye Uzi wako?
Galileo alipingwa Sana na watu wengi pale alipokuwa anasimamia ukweli hadi anakufa . Lakini mwisho wa siku watu wakaja kufahamu kuwa alikuwa sahihi na wao walio kuwa wengi hawakuwa sahihi. Kwa hiyo lazima ufahamu ya kuwa ukweli hapimwi kwa idadi ya watu wanao uunga mkono au kupinga .
 
Kwa hiyo wew na familia yako mmelizika na masharti ya mkataba wa DP WORLD?
 
Attachments

  • 4918016-a60a3cc9ab8d7931512cd1bfa339418d.mp4
    343 KB
Kwa hiyo wew na familia yako mmelizika na masharti ya mkataba wa DP WORLD?
Kwa hiyo hapo ndio pana masharti ya DP world kwenye hiyo video? Hata Hivyo hapo kwenye hiyo video mh Rais alimaanisha kuwa viongozi na watumishi wote waridhike na vipato vyao vilivyopo kwa mujibu wa sheria na siyo kuingia Tamaa ya kutaka kujipatia vipato kwa njia haramu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.

Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.

Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.

Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.

Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.

Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.

Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Luca,hivi maparachichi kilo moja ni shilingi ngapi kwa bei ya soko?
 
Hana mafanikio yeyote na hana uwezo kabisa kiakili na kimaadili kuongoza nchi.

Huna adabu wewe.angekuwa haja uwezo tungepata mafanikio haya makubwa katika uchumi na kila eneo? Wewe bila shaka una matatizo ya akili yanayohitaji matibabu ya haraka sana
 
Kwa hiyo hapo ndio pana masharti ya DP world kwenye hiyo video? Hata Hivyo hapo kwenye hiyo video mh Rais alimaanisha kuwa viongozi na watumishi wote waridhike na vipato vyao vilivyopo kwa mujibu wa sheria na siyo kuingia Tamaa ya kutaka kujipatia vipato kwa njia haramu.
Jibu swali kuhusu masharti ya mkataba wa DP WORLD. Hiyo picha nimekuonyesha tu tabia za huyo mama mkwe wake Mchengelwa asivyotakiwa kuaminiwa hata kwa sekunde
 
Haya ndio mafanikio?
 
Chawa kama chawa😂
Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.

Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.

Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.

Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.

Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.

Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.

Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Katika ubora wa kichawa
 
Back
Top Bottom