Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Kwa umri niliyo nao mimi ni haki kabisa nimuite Kikwete kuwa ni mzee, sioni sababu yako kunilaumu eti kisa nimemuita Kikwete mzee!
 
Kuna dhambi gani ukimpongeza mkwere wa watu jamani?
Hakuna dhambi, bali tunatumia universal formula ya the end, justifies the means, he who laughs last laughs most.

Hata Mungu alisema "wa kwanza atakuwa wa mwisho, na wa mwisho atakuwa wa kwanza", wa kwanza ni JK sasa ni wa mwisho na wa mwisho ni JPM, ndiye wa kwanza, all the credits goes to him.
P
 
Kwa umri niliyo nao mimi ni haki kabisa nimuite Kikwete kuwa ni mzee, sioni sababu yako kunilaumu eti kisa nimemuita Kikwete mzee!

Jina “mzee” linatumika kinafiki sana!

Lina concept ya umri!

Kwanini usitoe hoja yako ukamuita “Mr” Kikwete bila kuweka umri wake kwenye microscope isiyo na umuhimu wowote?

Ni kama unambagua fulani kwamba “mzee” yule na sisi “vijana” maana opposite ya mzee inapply kwako ni true!

Kuna watu wananiudhi sana ku-degrade wenzao kwa kuwaweka kwenye mabox ya identities!

Mfano ni bwana mawe,anapenda sana kuita marais wa nyuma wazee as if wamempita mbali sana kiumri!

Mfano Kikwete,kampita mawe miaka michache tu!Ila atakavyokomaa kumuita mzee this mzee that!

Of which they in the same age group...huu unafiki bwana!
 
Labda utawapata wenye mawazo kama yako lkn kwangu mimi naona sifa zangu zimwendee Kikwete
 
Nafikiri sasa ni wakati muafaka kwa wazee wa Bakita kama bado ipo wakatusaidia ili kuweka sawa matumizi sahihi ya hili neno
 
Unajua mnyika alisema ni dhaifu ktk jambo gani?
 
Bado mnaogopa kivuli cha maiti?
Hamuwazi mzimu ulioibuka ndani ya Nyumba yenu?
 

Mkuu, kwani Neno 'Mzee' lina maana gani ?

Pia mpaka likawepo hilo Neno ina maana kuwa hao wanaoitwa Wazee walikuwepo.
 
Hata mimi mleta mada kanichanganya maana analichukulia kama ni tishio kweli
Mkuu, kwani Neno 'Mzee' lina maana gani ?

Pia mpaka likawepo hilo Neno ina maana kuwa hao wanaoitwa Wazee walikuwepo.
 
Ndiyo democrasia na kupevuka,rais ni mtumishi wa watu,si mungu wa watu,anachofanya rais wa sasa ni ushamba,hakuna tena uongozi wa mabavu katika dunia ya watu waliostarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…