SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ila la kutumia mabilioni yetu katika mchakato wa Katiba mpya kisha kuitupa kapuni hili limeharibu yote mema aliyofanya. Katuachia msala mkubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ingekuwa kwenye autopilot hali isingekuwa ilivyo sasa. Autopilot ndo ilikuwa unalipa mishahara na kujenga barabara? Autopilot ndo. Iliwaangamiza m23? Autopilot ndo imefaya hayo yote mleta mada aliyosema? Upo sahihi mzee aachwe apumzike maana hatuna Shukrani.
Utawajua tu mafisadi waliokuwa wanafaidi keki ya taifa pekee yao. Wewe ni mmoja wao!Awamu ya tano imekua na promo saaaaana,.. Kitu kidogo tu, kitapigiwa kelele na kwakua vyombo vya habari vimebanwa, basi ni kama vile tuonavyo clouds katika promo zao.... Jk alikua kimya kimya, maendeleo na kula bata, yalikua maisha yenye afya, hata matatizo ya mgonjwa yatokanayo na msongo wa mawazo hayakua mengi kama Awamu ya tano
Zaidi ya sekta ya afya kipi Magu anajivunia? Reli bado,stiglaz bado nini kingine mambo ya elimu bure toka kitambo primary hatulipi ada sekondari ilitoka elfu 40 hadi 20Unalinganisha kwa mizani gani? Miaka minne kea miaka kumi?
Tuache ubabaishaji
[/QUOTE][Kajenga nyumba za jwtz nchi nzima
QUOTE="britanicca, post: 33128597, member: 290488"]
Kwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu
Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa
While za Kata
Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu
Vivuko nchi nzima
Barabara za kutosha
Kajenga Mwendo kasi
Kajenga uwanja wa Ndege terminal 3 japo JPM kaja kuizindua tu
Kajenga viwanja vya ndege Songwe, Bukoba, Mbeya, na Mwanza
Bora ungenambia uwanja ni mbovu kama wa songwe ningekuelewa ila kuongeza bei sio kesi sana coz kazi na bataHuo uwanja wa bilion 60 ukajengwa kwa bilion 100 mpaka siku ile magufuli aliona aibu kutamka ile thamani ya ule mradi kwa kweli
Zaidi ya sekta ya afya kipi Magu anajivunia? Reli bado,stiglaz bado nini kingine mambo ya elimu bure toka kitambo primary hatulipi ada sekondari ilitoka elfu 40 hadi 20
Hata mpango wa kuboresha miji alianzisha jk sema na uchumi ulikuwa unapaa leo hii kila ripoti inatupiga chini tunasingizia mabeberu hakuna habari huru vuvuzela na mapambio hadi yanakera kwa wanufaika
Rushwa imedhibitiwa kwa wadogo tuu wakubwa kama Kawa afu mtu anasema nini,
Mamaako alifanya makosa kutoitoa mimba uliozaliwa wewe hata family yenu inajuta kwa iloWale waliotuhakikishia kipindi cha awamu ya nne kuwa Kikwete hajafanya lolote ndio leo wamegeuka na kuanza kuorodhesha yote aliyofanya.
Wale waliosema ccm tangu uhuru haijawahi kufanya chochote leo wamekuwa waimba pambio wa kusifia mambo yaliyofanywa na awamu nne zilizopita.
Kikwete na Mkapa ni viongozi ovyo kuwahi kutokea nchi hii, hata yule baba yenu wa taifa naye ovyo japo yeye alijitahidi compared to those couple above.
Nikiona watu leo wanamsifia Kikwete nachoka kabisa na kujiuliza how stupid these black people are.
Nikisema Waafrika wengi ni viumbe wapumbavu mnaanza kulia mara ooh Sir Khan mbaguzi.
Magufuli wanyooshe hawa watu mpaka akili ziwarudie.
Usisahau kipindi Cha kikwete wapinzani walinga'ra kwa kuibua madudu ya serikali aliyokuwa akiongozaKumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?
Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa yaliyofanywa enzi za Jakaya.
Tiririka .....
Kwa maoni yangu sgr kama ya Kenya ingefaa lakini hii ya umeme kwangu naona sio maana hakuna cargo ya kufaa sgr ya umemeWatu wasichojua ni kwamba miaka ya mwisho ya utawala wa JK aliagiza ada sekondari iondolewe.
Na pia watu wasichojua ni kwamba hata SGR JK alishaitafutia pesa kwa wachina ila JPM alivyokuja akabadiri mfumo wa awali kwa kuwaondoa wachina na kuleta waturuki na kisha kuboresha design ya mwanzo (SGR ya JK ingekuwa kama ya Wakenya kuaccomodate trains zinazokwenda speed fulani slow, JPM akaboresha kuwezesha Train za speed ya kasi kidogo)
Mkuu wala huna sababu ya kuorodhesha haya,either kiongozi wetu wa awamu ya tano ni mgonjwa au ana matatizo makubwa kichwani,juzi Kuna mwendawazimu fulani sijui ni Uvccm yule nilimpa lift akaanza kumsifia mwendawazimu mwenzie eti kisa barabara mijini mfano singida na Dodoma na miji mingine zimejengwa sasa,nikamuuliza hivi ukichukuwa urefu wa barabara zote za singida na zile za dodoma zinaweza kuwa sawa na barabara ya Mikumi Mafinga au Chalinze Melela au iringa Dodoma?Hawa watu wa awamu ya tano ni wendawaz dont waste your timeKumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?
Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa yaliyofanywa enzi za Jakaya.
Tiririka .....
Kuacha watu wachezee sharubu ndo uongozi wenyewe, uongozi haupimwi kwa namna watu wanavyokuogopa,bali how do deal with issues hasa zile za usiowapendaKwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu
Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa
While za Kata
Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu
Vivuko nchi nzima
Barabara za kutosha
Kajenga Mwendo kasi
Kajenga uwanja wa Ndege terminal 3 japo JPM kaja kuizindua tu
Kajenga viwanja vya ndege Songwe, Bukoba, Mbeya, na Mwanza
nyumba za polisi kunduchiUsisahau na nyumba za pale Monduli..Ova
acheni kupaka rangi donkey ili ageuke kuwa zebraKumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?
Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa yaliyofanywa enzi za Jakaya.
Tiririka .....
Awamu hii ujenzi wa nyumba binafsi umepungua badala yake watu wanauza nyumba walizojenga ili kujikimu.Tulijenga sana mitaani.misauzi ilizagaa kila kona.
Wizi uliopitiliza umetumia statics zipi kwa awamu zote ukaona awamu yake ilipitiliza? Ukiwa fair utagundua kuwa hakuna awamu isiyo na tatizo la wizi wa mali za Uma, hata wewe tukikuchunguza inawezekana kuna sehemu uliibia serikali kwa kiwango chako.Wizi uliopitiliza. In order to be fair, acha tufanye comparison after 10 years.
Hapo tutakuwa tunatenda haki