Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
 
Kwamba kwa kifupi haya yote magufuli anayofanya niya kikwete yale yote aluokuwa anashughulikia kwenye muongo wake wa pili.magufuli yeye yake kama wakimpa ridhaa ya kuendelea awamu ya pili ndio ataanza na yale aliohidi yeye na hata yamaliza hivyo rais ajae baada ya magu nae ndio anaendelea kumalizia ya magu ndio sistimu inavyoenda pale ccm
 
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Dr John Magufuli ana uwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi!
 
Hajapandisha mishahara na madaraja miaka mnne sasa. Maisha ya wafanyakazi ameyafanya kuwa magumu sana.
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
 
JK anajuta sana kuingia NEC ya CCM na jina la huyu mtu mfukoni mwake, mbaya zaidi akamsukumizia ndani ya chumba wakati anachungulia, sasa wacha ahukumiwe na mrithi wake
 
ukiona mahindi yako bei ya juu nenda kalime yako ya bei ya chini
Hii kauli haikupaswa kutolewa na mtu mwenye nafasi kubwa kama ile. Watu wanapomsikiliza kiongozi wao hutegemea kupata faraja kutokana na changamoto wanazopitia Ila kwasasa hata kumsikiliza kiongozi mkuu inahitaji moyo
 
Kwa maana hiyo hoja ya wapinzani kuwa serikali ccm haijafanya lolote haina mashiko ?
 
Huu ni uchochezi!
Siyo uchochezi, ni ukweli mchungu ambao praise team hawawezi kuumeza.
Huyu rais hakushushwa kutoka mbinguni 2015.
Nchi hii ilikuwepo kabla ya 2015.
Baadhi ya waimba mapambio ya sifa wanataka kuaminisha watz kuwa hakuna la maana lililofanywa na awamu zilizopita. Awamu hii tu ndiyo inafanya kazi. Wanasahau huyu wa awamu hii pia alikuwepo awamu mbili zilizopita, hakushushwa kutoka mbinguni 2015 kuja kuwakomboa watz.
Maraisi wote waliopita wamefanya kazi sana, ni kwamba hawakuwa na tabia ya kujimwambafy, kila walichofanya hawakuita vyombo vya habari ili viripoti Kama ilivyo sasa. Awamu hii hata uzinduzi wa soko tu lazima uwe live TBC. Tuwaheshimu waliotangulia, kila binadamu ana udhaifu wake.
 
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Kaongeza nidhamu serikalini kwa kutopandisha watumishi mishahara na madaraja
 
hayo ndio yanamfanya aogope upinzani na uchaguzi hapa nchini
meko ni failure kabisa
 
Hayo mapato yaloongezeka, yamekusaidiaje wewe na ukoo wako? Yameleta tija gani kwa taifa?
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
 
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua

Ila havijamsaidia masikini kujinasua na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…