Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

ni stories tu. kwa nini kuku, ng'ombe, mbuzi n. k wasianze nao ku develop sumu kujikinga? sangara, sato , kibua... hayo maneno mengine ni porojo tu...
 
dunia imeisha mmeanza kuwala hadi wakunga? sasa nani atazalisha dada na wake zetu? na mnasifia kabisa kuwa watamu. si mkimaliza mtaanza kula na manesi?
 
Utamu wa taa huujui weye alafu hawana miba
kuna taa, jodari baba la steki, chafi na bangara hawa kwangu ndo my fav ila nikikosa hao kuna huyo pono namla tu ilimradi nipate kijivumba cha kushikia ugali samaki anateleza kama bamia, nimekosa kabisa nahamia huko kwenye dagaa msumari, uono au bobwe sasa ikiwa hamna kabisa nahamia kwa papa nanguru napo hamna sina namna ni kauzu aumaharage yanachemka.
 
We ni raia wa nchi gani. Maswali mengine yanakera tena anauliza kijana mdogo amemaliza shule majuzi, hajui jiografia ya nchi yake. Ni vijana wavivu na wapenda starehe. Shenzi kabisa
Mkuu sishangai huyu dogo kilaza unaweza Kuta hata amemaliza form four na kweli hajui Mafia ipo wapi hiki kizazi Cha kiduku Hamna kitu kabisa kichwani kifupi ni mburula
 
ni stories tu. kwa nini kuku, ng'ombe, mbuzi n. k wasianze nao ku develop sumu kujikinga? sangara, sato , kibua... hayo maneno mengine ni porojo tu...
Ni kazi ya mzungu hiyo mwamba alafu wanawaweka alama kabisa wasiliwe.
Hayo ya kudevelop ni pumba ila ile ya kusema wanakula mimea ya baharini ambayo Ina sumu naweza kubaliana nalo
 
Hivi Zanzibar ina visiwa vingapi maana nilikua nafikir ni unguja na pemba.
Hiyo mafia ipo wapi??
Na unaweza kuta ni degree holder wewe tena UDSM.
Elimu za sasa hizi dah...

Kwa ukiambiwa zanzibar ni visiwa vitatu utakubali, au ukiambia mafia ni mkoa wa pwani utakubali...

Upo upo yaani hauna unalolijua
 
Na unaweza kuta ni degree holder wewe tena UDSM.
Elimu za sasa hizi dah...

Kwa ukiambiwa zanzibar ni visiwa vitatu utakubali, au ukiambia mafia ni mkoa wa pwani utakubali...

Upo upo yaani hauna unalolijua
huyu ni udom. udsm hawawezi kuwa na vilaza wa hivi. mimi nimesoma miaka ile udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…