Hapo nimekupata. Kulingana na Charles Darwin, species za viumbe huendeleza njia ya kujilinda vizazi vyao, zile aina ambazo hufanikisha kuendeleza aina ya mechanism itayakayofanya ziishi ndio zitabaki. Kasa walipoanza kupungua kwa kuliwa, wakadevelop sumu. Waliokosa sumu wameliwa ndio wanaelekea kuisha, wenye sumu wameanza kuongezeka kwenye population sample. Miaka kama 300 ijayo kasa wote watabaki wenye sumu. Mfano sasa kadri ya hizi taarifa kuongezeka basi watu watakuwa discouraged kula kasa na hivyo wataongezeka.
Na kwa kuzingatia hawa wako hatarini kutoweka basi ni rare, wavuvi wakongwe ndio wanajua kuwatofautisha