Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Hapo nimekupata. Kulingana na Charles Darwin, species za viumbe huendeleza njia ya kujilinda vizazi vyao, zile aina ambazo hufanikisha kuendeleza aina ya mechanism itayakayofanya ziishi ndio zitabaki. Kasa walipoanza kupungua kwa kuliwa, wakadevelop sumu. Waliokosa sumu wameliwa ndio wanaelekea kuisha, wenye sumu wameanza kuongezeka kwenye population sample. Miaka kama 300 ijayo kasa wote watabaki wenye sumu. Mfano sasa kadri ya hizi taarifa kuongezeka basi watu watakuwa discouraged kula kasa na hivyo wataongezeka.

Na kwa kuzingatia hawa wako hatarini kutoweka basi ni rare, wavuvi wakongwe ndio wanajua kuwatofautisha
ni stories tu. kwa nini kuku, ng'ombe, mbuzi n. k wasianze nao ku develop sumu kujikinga? sangara, sato , kibua... hayo maneno mengine ni porojo tu...
 
first time namuona na kumla nikamwambia mam yangu nilikua naye mbali alinishangaa yan umemla mkunga, hukuogopa?? yeye huogopa nyoka hata awe mdogo kias gan hawez kumuua bas mkunga huhisi n nyoka, nyama yake ni tamu sana hasa uinge na viungo, kitumuu swaum, tangawizi, kiji ndimu na pilipili manga kwa mbaali na kiji ugali pembeni kachumbari
dunia imeisha mmeanza kuwala hadi wakunga? sasa nani atazalisha dada na wake zetu? na mnasifia kabisa kuwa watamu. si mkimaliza mtaanza kula na manesi?
 
Utamu wa taa huujui weye alafu hawana miba
kuna taa, jodari baba la steki, chafi na bangara hawa kwangu ndo my fav ila nikikosa hao kuna huyo pono namla tu ilimradi nipate kijivumba cha kushikia ugali samaki anateleza kama bamia, nimekosa kabisa nahamia huko kwenye dagaa msumari, uono au bobwe sasa ikiwa hamna kabisa nahamia kwa papa nanguru napo hamna sina namna ni kauzu aumaharage yanachemka.
 
We ni raia wa nchi gani. Maswali mengine yanakera tena anauliza kijana mdogo amemaliza shule majuzi, hajui jiografia ya nchi yake. Ni vijana wavivu na wapenda starehe. Shenzi kabisa
Mkuu sishangai huyu dogo kilaza unaweza Kuta hata amemaliza form four na kweli hajui Mafia ipo wapi hiki kizazi Cha kiduku Hamna kitu kabisa kichwani kifupi ni mburula
 
ni stories tu. kwa nini kuku, ng'ombe, mbuzi n. k wasianze nao ku develop sumu kujikinga? sangara, sato , kibua... hayo maneno mengine ni porojo tu...
Ni kazi ya mzungu hiyo mwamba alafu wanawaweka alama kabisa wasiliwe.
Hayo ya kudevelop ni pumba ila ile ya kusema wanakula mimea ya baharini ambayo Ina sumu naweza kubaliana nalo
 
Hivi Zanzibar ina visiwa vingapi maana nilikua nafikir ni unguja na pemba.
Hiyo mafia ipo wapi??
Na unaweza kuta ni degree holder wewe tena UDSM.
Elimu za sasa hizi dah...

Kwa ukiambiwa zanzibar ni visiwa vitatu utakubali, au ukiambia mafia ni mkoa wa pwani utakubali...

Upo upo yaani hauna unalolijua
 
Na unaweza kuta ni degree holder wewe tena UDSM.
Elimu za sasa hizi dah...

Kwa ukiambiwa zanzibar ni visiwa vitatu utakubali, au ukiambia mafia ni mkoa wa pwani utakubali...

Upo upo yaani hauna unalolijua
huyu ni udom. udsm hawawezi kuwa na vilaza wa hivi. mimi nimesoma miaka ile udsm
 
Back
Top Bottom