Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #61
Aisee umewaza vizuri sana boss,bado ana vijimelea vya ulast born kabisa,haiwezekani kumgandamiza mtoto ambaye anapambana kuhakikisha familia walau inainuka hlf analeta ujingaUyo baba ni last born nadhani
Hiyo ni mila mkuu ,ila kwa mzee alikua anasaka wa kiume inavyoonekana, tupo wawili tu😁😁Mko dazani?? 😹😹
Ila wazee wa kichaga wanapenda chini khaaa.!! 🤣
Hapo kazaa kwa wamama tofauti tofauti, sijui wana shida gani?? Hawazalishi sehemu moja.!
Hakika mkuu ntapambana mpaka kitaeleweka.Nafurahi kusikia hivyo boss wangu,pambana kadri ya uwezo wako huku ukimuomba Mungu akupe subira na neema zake
Ipo siku kitaeleweka tu
Acha ndugu yangu Yani mpk nimewaza kumuwezesha sababu ndio siku ya Kwanza kanibeba na akanipa story hiyo unajua kuna watu wanatembea na Huku mioyo Yao inaongea kuhusu yanayowasibu huyu ni boda wa pili napata story wa Kwanza aliacha shule ili amsomeshe mdogo wake wa kike na kweli anapambana haya Maisha ukifanikiwa kupata hata kidogo mshukulu MunguHuu ni ushuhuda tosha kwamba hawa watu ni watu na nusu hakika wanapambana sana
Duh huyu jamaa uliyemuelezea ana changamoto sana kwakweli,mungu amsimamie sana
Nimeboreka na tabia ya baba yake,mtu amemfungulia biashara mama yake halafu baba anaifilisi,hakika sio baba wote wana sifa ya kuwa baba
Acha uwongoukimuona first born hajajenga au kujiimarisha kiuchumi basi tambua ana mzigo mkubwa wa ndugu na jamaa wanamtegemea
Sio wote wengine wapo kujinufaisha wenyewe kwa kigezo cha first born, stupidAcha ndugu yangu Yani mpk nimewaza kumuwezesha sababu ndio siku ya Kwanza kanibeba na akanipa story hiyo unajua kuna watu wanatembea na Huku mioyo Yao inaongea kuhusu yanayowasibu huyu ni boda wa pili napata story wa Kwanza aliacha shule ili amsomeshe mdogo wake wa kike na kweli anapambana haya Maisha ukifanikiwa kupata hata kidogo mshukulu Mungu
Ukweli unauma sana ila ndio ukweli huoUkiona mtu anaita wenzake vilaza,
Huyo mtu amejaa majivuno na viburi.
View attachment 3192424
Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine
Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika familia,tena katika hizi familia zetu ambazo bado hazija jipata hakika mafirst born wanajitoasana kwa kupenda au kwakutokupenda,na watafanyaje angali wanategemewa wao
Ni mara nyingi unawakuta hawa watu wanashindwa kufanya mambo yao ya maendeleo kwasababu wapo pale kusapoti familia zao na wadogo zao,kwahiyo next time ukimuona first born hajajenga au kujiimarisha kiuchumi basi tambua ana mzigo mkubwa wa ndugu na jamaa wanamtegemea
Najua kuna baadhi mtasema hayo sio majukumu yake,bali majukumu yake ni kuangalia watoto wake na familia yake,nasema hivi kwa mtu ambaye anajitambua hawezi acha wazazi wake au ndugu ambao wanahitaji msaada kisha akawapuuza,hilo haliwezekani kwasababu hao ni jamaa zake na watu wake wa karibu
Kwao wao kuwaona ndugu zao wanaenda shule kwa msaada wao ni faraja kubwa sana,kuwaona ndugu zao wanapata mkate wao wa kila siku ni jambo lenye kuwapa faraja sana,kuiona familia inatabasamu ni jambo lenye kuwapa amani katika nyoyo zao
Mafirst born aluta continua kama mlivyoanza na ndio mtakavyo maliza,daima endeleeni kushow love kwa ndugu jamaa na marafiki,mmezaliwa wa kwanza kwakuwa mna mission hapa duniani,nyie ni viongozi,na sifa kubwa ya kiongozi ni kutatua shida za ndugu zake na jamaa zake
Kiongozi siku zote huwa baina ya shida za watu wake na kutafuta namna ya kuzitatua au kama sio kuzipunguza,haukuwa mzaliwa wa kwanza kwa bahati mbaya bali ili upambanie jamii yako
Nafahamu huwa mnajitoa sana kwa ajili ya ndugu hata wakati mwingine mnakosa yale ambayo mnayapenda katika nafsi,nawapa moyo kwamba,hakika mnabadilisha maisha ya watu wengi sana,huenda msipate nafasi ya kuambiwa hayo lkn mfahamu kwamba juhudi zenu haziendi bure
Endeleeni kupambana mpaka tone la mwisho la damu
Ni hayo tu!
Kamuulize baba yake akwambie vizuri ndio maana mzigo wa punda huwezi ukakuta umebebwa na SwalaHuu ni ushuhuda tosha kwamba hawa watu ni watu na nusu hakika wanapambana sana
Duh huyu jamaa uliyemuelezea ana changamoto sana kwakweli,mungu amsimamie sana
Nimeboreka na tabia ya baba yake,mtu amemfungulia biashara mama yake halafu baba anaifilisi,hakika sio baba wote wana sifa ya kuwa baba
Nadhani sio first borns tu, hata 2nd na 3rds born nao wanahusika sana hasa kama familia ni kubwa...binafsi nimeshuhudia unaacha mambo yako makubwa ya maendeleo ili uhakikishe madogo wanamaliza chuo na usiombe sijui wamekosa mkopo wa HESLB halafu ni mapacha na wako vyedi upstairs, huna pa kukimbilia ni kuwasaidia tu no way out.View attachment 3192424
Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine
Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika familia,tena katika hizi familia zetu ambazo bado hazija jipata hakika mafirst born wanajitoasana kwa kupenda au kwakutokupenda,na watafanyaje angali wanategemewa wao
Ni mara nyingi unawakuta hawa watu wanashindwa kufanya mambo yao ya maendeleo kwasababu wapo pale kusapoti familia zao na wadogo zao,kwahiyo next time ukimuona first born hajajenga au kujiimarisha kiuchumi basi tambua ana mzigo mkubwa wa ndugu na jamaa wanamtegemea
Najua kuna baadhi mtasema hayo sio majukumu yake,bali majukumu yake ni kuangalia watoto wake na familia yake,nasema hivi kwa mtu ambaye anajitambua hawezi acha wazazi wake au ndugu ambao wanahitaji msaada kisha akawapuuza,hilo haliwezekani kwasababu hao ni jamaa zake na watu wake wa karibu
Kwao wao kuwaona ndugu zao wanaenda shule kwa msaada wao ni faraja kubwa sana,kuwaona ndugu zao wanapata mkate wao wa kila siku ni jambo lenye kuwapa faraja sana,kuiona familia inatabasamu ni jambo lenye kuwapa amani katika nyoyo zao
Mafirst born aluta continua kama mlivyoanza na ndio mtakavyo maliza,daima endeleeni kushow love kwa ndugu jamaa na marafiki,mmezaliwa wa kwanza kwakuwa mna mission hapa duniani,nyie ni viongozi,na sifa kubwa ya kiongozi ni kutatua shida za ndugu zake na jamaa zake
Kiongozi siku zote huwa baina ya shida za watu wake na kutafuta namna ya kuzitatua au kama sio kuzipunguza,haukuwa mzaliwa wa kwanza kwa bahati mbaya bali ili upambanie jamii yako
Nafahamu huwa mnajitoa sana kwa ajili ya ndugu hata wakati mwingine mnakosa yale ambayo mnayapenda katika nafsi,nawapa moyo kwamba,hakika mnabadilisha maisha ya watu wengi sana,huenda msipate nafasi ya kuambiwa hayo lkn mfahamu kwamba juhudi zenu haziendi bure
Endeleeni kupambana mpaka tone la mwisho la damu
Ni hayo tu!
Ikifika zama ya ma last born mtuambie sisi wachonga ramaniNi January tena.
Yani kama umeniona kaka mkubwa jana tu nimetoka kukamilisha muamala wa school fees za dogo fulani sasa hivi ana uhakika wa kusoma mwaka mzima bila mtu kumfuata kwa issue ya school fees.
HadithiWazaliwa wa kwanza ni baba mbadala,Esau alizalau uzaliwa wake wa kwanza akamuuzia mdogo wake kwa chakula cha dengu akawa ndio ameuza baraka zote za uzaliwa wa kwanza,Yakobo ambaye ndiye mdogo wake Esau ndiye Israel wa leo taifa lenye nguvu duniani.
Hio maana yake ni nyingine kabisa Mungu huangalia last born sio first born hio ndio fundisho la hilo andiko la Esau na nduguye YakoboWazaliwa wa kwanza ni baba mbadala,Esau alizalau uzaliwa wake wa kwanza akamuuzia mdogo wake kwa chakula cha dengu akawa ndio ameuza baraka zote za uzaliwa wa kwanza,Yakobo ambaye ndiye mdogo wake Esau ndiye Israel wa leo taifa lenye nguvu duniani.
Utam kolea.Hadithi
Amen. Mungu azidi kutuweka.First Born ni lango kila Kambi inaling'ang'ania.
Sio tu First born Mimi ni Deputy Mzazi. Utaratibu wangu Umenyooka kama chuma Cha moto🤣🤣🤣Amen. Mungu azidi kutuweka.
Sema kama wewe ni firstborn kazi ipo.
Kongole kwako kaka mkubwa,lazima tuwapush madogo wakamilishe ndoto zao,hiyo kwetu ni motivation tosha kuwaona wengine wanatimiza ndoto zao kupitia sisi kaka wakubwa na dada wakubwaNi January tena.
Yani kama umeniona kaka mkubwa jana tu nimetoka kukamilisha muamala wa school fees za dogo fulani sasa hivi ana uhakika wa kusoma mwaka mzima bila mtu kumfuata kwa issue ya school fees.
Sasa hujamkoti mtu sijui ni meseji yangu au laa,kama ni mimi nina 45 bossWe jamaa Kwa uongo
MTU mwenye miaka 60 unaweza kuwa na mdogo wako anayesoma