Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Unataka ule mto ufanywe kama gondola venice, kweli, unaniita mm akili kisodo, wide area ya mto mkondoa, unataka ufanye kama venice, gondola wanavyopita na viboat vile.😂😂😂😂, guy you aren't serious, for real?Siwezi kudebate na mtu mwenye akili kisoda kama wewe.
Nenda venice Italy ukatowe matongotongo maana huenda upo UK madafu au mzambarauni hujui dunia ilipo.
View attachment 2981308
Why do you attach the photo of the Stone that has 'an ugliest face'??Siwezi kudebate na mtu mwenye akili kisoda kama wewe.
Nenda venice Italy ukatowe matongotongo maana huenda upo UK madafu au mzambarauni hujui dunia ilipo.
View attachment 2981308
Ajabu kwako ni ipi hapo? Mzee Rungwe alivyowaambia atawalea bahari Dodoma hamkumuelewa.Unataka ule mto ufanywe kama gondola venice, kweli, unaniita mm akili kisodo, wide area ya mto mkondoa, unataka ufanye kama venice, gondola wanavyopita na viboat vile.😂😂😂😂, guy you aren't serious, for real?
Sasa uzi umeingiliwa na watu wa uingereza. Na italy
Hatari.Sasa uzi umeingiliwa na watu wa uingereza. Na italy
Rudi kwenye comment yangu utaelewaAjabu kwako ni ipi hapo? Mzee Rungwe alivyowaambia atawalea bahari Dodoma hamkumuelewa.
View attachment 2981314View attachment 2981314
Hapana tunaeleweshana. Tuweke kando ulaya kila mtu anaitumia kama mfano. Maeneo annayotaja wengi wanaifahamu. Labda kama hujasoma sana. Sio kuishi au kusafiri ulaya though is a credit.Hatari.
Ukiwa Ulaya ama umefika huko, wote wengine walio nje ya hapo huwa hawana akili. Majadiliano hujaa majivuno na tambo.
Poleni wana ifakara kwa maafa hayoHali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
mashoga ndo wameleta adhabu hiiDunia imechachafya kila pembe ya dunia mafuriko na kimbunga. Kuna tatizo sehem si bure!
Na mimi nakataa maana kama ule mto anahitaji ujengwe watu wapite kwa boti mmmmh. Kwa maana hata lile tuta lililowekwa limesaidia sana miaka nenda rudi hakujatokea mafuriko tena kama yaliyotokea afu ule mto kwa mfano kutokea uindini kwenda magomeni mbna maji hayana kina kirefu sema mto n mpana tu sasa maana ake inabidi na mto uchimbwe.Hapana tunaeleweshana. Tuweke kando ulaya kila mtu anaitumia kama mfano. Maeneo annayotaja wengi wanaifahamu. Labda kama hujasoma sana. Sio kuishi au kusafiri ulaya though is a credit.
Jaamaa annachoongea kinawezekana ila si kwa Sehemu anayosema in a current matter. Sasa upafanye kama venice kedete kweli wanangu. Kweli, italy ifanane na kidete. Mnaijua kidete yenyewe.
Hii hata ww inabidi ukatae. Jamaa anataka tuishi kwwa tabu. Bora inunuliwe ndege au madarasa yaajengwe
Ndio maana nikasema jamaa sijui anaongea nini hapa. Anatupereka chaka kabisa. Nataka pia nimsikie anatakaje pale mto lumemo.Na mimi nakataa maana kama ule mto anahitaji ujengwe watu wapite kwa boti mmmmh. Kwa maana hata lile tuta lililowekwa limesaidia sana miaka nenda rudi hakujatokea mafuriko tena kama yaliyotokea afu ule mto kwa mfano kutokea uindini kwenda magomeni mbna maji hayana kina kirefu sema mto n mpana tu sasa maana ake inabidi na mto uchimbwe.