Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

Siwezi kudebate na mtu mwenye akili kisoda kama wewe.

Nenda venice Italy ukatowe matongotongo maana huenda upo UK madafu au mzambarauni hujui dunia ilipo.
View attachment 2981308
Unataka ule mto ufanywe kama gondola venice, kweli, unaniita mm akili kisodo, wide area ya mto mkondoa, unataka ufanye kama venice, gondola wanavyopita na viboat vile.😂😂😂😂, guy you aren't serious, for real?
 
Ajabu kwako ni ipi hapo? Mzee Rungwe alivyowaambia atawalea bahari Dodoma hamkumuelewa.

1714906962052.png
1714906962052.png
 
Hatari.

Ukiwa Ulaya ama umefika huko, wote wengine walio nje ya hapo huwa hawana akili. Majadiliano hujaa majivuno na tambo.
Hapana tunaeleweshana. Tuweke kando ulaya kila mtu anaitumia kama mfano. Maeneo annayotaja wengi wanaifahamu. Labda kama hujasoma sana. Sio kuishi au kusafiri ulaya though is a credit.
Jaamaa annachoongea kinawezekana ila si kwa Sehemu anayosema in a current matter. Sasa upafanye kama venice kedete kweli wanangu. Kweli, italy ifanane na kidete. Mnaijua kidete yenyewe.
Hii hata ww inabidi ukatae. Jamaa anataka tuishi kwwa tabu. Bora inunuliwe ndege au madarasa yaajengwe
 
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.

Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.

Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.

Mtuombee.
Poleni wana ifakara kwa maafa hayo
 
Chance ndoto naamini hoja inaweza kujengwa bila ya makando kando ya kutambiana na kuoneshana nani zaidi

Kiukweli kufika kuwa kama Venice ni bado sana...

Kuna hoja nimeiona ina ukweli. Uzalishaji na kufanya kazi kwa bidii ndiyo njia pekee ya kupata maendeleo.

Tatizo huwa tunadhani serikali Ina Hela zipo tu mahali, zikitakiwa zinapatikana.
 
Hapana tunaeleweshana. Tuweke kando ulaya kila mtu anaitumia kama mfano. Maeneo annayotaja wengi wanaifahamu. Labda kama hujasoma sana. Sio kuishi au kusafiri ulaya though is a credit.
Jaamaa annachoongea kinawezekana ila si kwa Sehemu anayosema in a current matter. Sasa upafanye kama venice kedete kweli wanangu. Kweli, italy ifanane na kidete. Mnaijua kidete yenyewe.
Hii hata ww inabidi ukatae. Jamaa anataka tuishi kwwa tabu. Bora inunuliwe ndege au madarasa yaajengwe
Na mimi nakataa maana kama ule mto anahitaji ujengwe watu wapite kwa boti mmmmh. Kwa maana hata lile tuta lililowekwa limesaidia sana miaka nenda rudi hakujatokea mafuriko tena kama yaliyotokea afu ule mto kwa mfano kutokea uindini kwenda magomeni mbna maji hayana kina kirefu sema mto n mpana tu sasa maana ake inabidi na mto uchimbwe.
 
Kuna haja ya mimi kujichanga au kutafuta koneksheni niingie hapo venice,napitwa na mengi sana asee
 
Attachments

  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    24.7 KB · Views: 2
Kiuhalisia mji wa ifakara watu wanaoishia kapolo,ujenzi,na kibaoni baadhi ndio wako salama lakini hawa wa mbasa,lumemo,katindiuka,kwa shungu,maendeleo,mhola,minarani,mjini,maneo yte ya polisi hawa wanaishi kwenye majaruba ya mpunga hali hii huwa hutokea sana hata mji wa malinyi yaan ni shida sana bonde hilo lakini mji wa ifakara umekosa tu miundombinu kwa maaana changamoto siku zte ni huo mto wa lumemo ni bora hata mamlaka ingepiga tuta kubwa kuzuia maji
 
DAAAAH,

Hidaya huyu,

Morogoro mjini leo tokea asubuhi hadi sasa hv navyopost inanyesha tu.

Mungu atuepushe waja wake na hili Pepo Hidaya aisee
 
Na mimi nakataa maana kama ule mto anahitaji ujengwe watu wapite kwa boti mmmmh. Kwa maana hata lile tuta lililowekwa limesaidia sana miaka nenda rudi hakujatokea mafuriko tena kama yaliyotokea afu ule mto kwa mfano kutokea uindini kwenda magomeni mbna maji hayana kina kirefu sema mto n mpana tu sasa maana ake inabidi na mto uchimbwe.
Ndio maana nikasema jamaa sijui anaongea nini hapa. Anatupereka chaka kabisa. Nataka pia nimsikie anatakaje pale mto lumemo.
 
Hali ya hewa imabadilika duniani kote,mafuriko yamekua makali sana sehemu zote duniani. Nimeangalia mafuriko ya karibuni ya mji mmoja brazil yamefika 30 meters mpaka yamefunika daraja ambalo ni refu kutoka chini kwenye mji huo.
 
Back
Top Bottom