suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nisha tumia mwaka wa 15 huu, cha kushangaza ngozi yangu ipo vizuri kuliko wife mwenye mabegi mawili ya mafuta.
Nilale Sina wakuubust usingizi apa jicho kavu na game😂Kirikou hujalala? Ntakuchapa 😂😂😂
Kesho shule
Madame sorry kulala na habr za shule apa mwendo wa kuua nyau subir kesho nikilala darasaniKirikou hujalala? Ntakuchapa 😂😂😂
Kesho shule
Mimi natumia Vaseline Jelly for MEN ile mgando na bado siwi kama kitumbua 😅😅😅NAKAZIA....
atumie lotion tu, inapenya fasta kwenye ngozi mafuta ya mgando unakua kama kitumbua😂
Hili nalo ni lakutazama.Hahahaha!.
Kuna mazingira ambayo yanakulazimu utumie mafuta ya mgando haswa sehemu zenye baridi kali na upepo mkavu. 1
Ukijidai kutumia lotion, ngozi itajikata kata na hutatamanika.
Lotion ni nzuri sana kwenye mazingira ya joto.
Razaq ni lotion ama?Tumia Razaq huhitaji pafyum
Jukwaa la mapishi ndiyo wapi ?Ungeenda jukwaa la mapishi Kaka
Jamaa kauliza serious ww waleta utani
Haya mafuta kwa joto la dar ni kipengele [emoji35][emoji91]Paka tu vaseline for men mkuu
Nivea made ya Spain au Germany usinunue ya Kenya inakua kama wametwanga mihogo...
Kwa hiyo mwanaume ndio apake hii anukie matunda?unamtakia mema mwenzio?Mkishapata mafuta mazuri msisahau hii kitu... Ni buku 7 tuView attachment 2808052
Hii kiboko!mafuta yangu pendwa sanaView attachment 2812253
Chukua hii utanikumbuka.
we nae sijui umesomea chini ya mwembe? Body spray unajipakaje?Kwa hiyo mwanaume ndio apake hii anukie matunda?unamtakia mema mwenzio?
Kwa hiyo unahisi sifahamu hiyo ni body spray?wale machinga wote nje kariakoo wanaziuza hizo kimbilio la mabeki tatu.....we nae sijui umesomea chini ya mwembe? Body spray unajipakaje?
Umewadhalilisha sana wahitimu wenzio wa UDSM