Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Nisha tumia mwaka wa 15 huu, cha kushangaza ngozi yangu ipo vizuri kuliko wife mwenye mabegi mawili ya mafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu kweli. Wanaume wana ngozi nzuri kuliko wanawake wakati wao routine yao ni simple tu ila sisi sasa [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahahaha!.

Kuna mazingira ambayo yanakulazimu utumie mafuta ya mgando haswa sehemu zenye baridi kali na upepo mkavu. 1

Ukijidai kutumia lotion, ngozi itajikata kata na hutatamanika.

Lotion ni nzuri sana kwenye mazingira ya joto.
Hili nalo ni lakutazama.
 
KWA MWANAUME UAPAKAJ WA MAFUTA SIO MARA ZOTE ILA IKITUBID MWANAUME UMEPATAKA MAFUTA NIYA NAZ LABDA KAMA UNA ALEGY NAYO
 
IMG_1534.jpg

Chukua hii utanikumbuka.
 
Back
Top Bottom