Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Labda useme China. Huwezi kwenda hizo nchi zingine za Ulaya au Japan kama umepigwa ban kwenda USA.
 
Ana dunda wapi? Umeshamuona akikinyaga huko? Ana account nje ya nchi haswa benki za nato au us?
Ban sio kwa akjili ya kutoa uhai, ni kwa ajili ya kaz zingine. Na ni mwanzo tu
Kwani yeye ni kiongozi wa huko?mkimbizi axcha ufala
 
Mafelw haijitaji kwenda Marekani. Take actions asiumize wengi. Ni
 
Hujui maana ya kupigwa ban kwenye nchi kubwa kama Marekani, sidhani kama hata una passport wewe.

Ukipigwa ban ni nchi zote zinazoshirikiana na Marekani huendi hata kama una mali zako UK zinakuwa freezed.

Msome huyu.
Watanzania wengi hawana Elimu ya mambo ya safari wao kila kitu wanaona sawa tu ukipigwa ban USA ni kwamba hata washirika wake pia hawatakupokea kwa jambo lolote na wakiamua wanakukamata popote na wanakupeleka USA juzi kati wamemchukua senator wa Mexico nae kaenda USA alikua anashirikiana na wauza sumu kutoa taarifa za wanaopinga na kuuawa walianza na ban muda mrefu sasa wameenda kumchukua..
 
Zingatia "diplomatic message" hayo mengine ya hisia mimi sijaongelea! US anaweza kukuground usiuze hata njugumawe na huo ushindani ukabaki kati ya Magu na njombe tu na ukashangaa! Majuzi tu hapa kabla ya uvamizi wa Iran, riyal yao ilishuka hadi laki kwa dola 1, zingatia hii sio message ya US to mafwele by the way who is mafwele hadi Rubio amzingatie? Hii ni massage kwa mwenye mbwa anayemfuga, period
 
Hana hiyo jeuri
 
Eti upigwe ban US na EU useme utaenda Singapore au Morroco una akili kweli.

Waione...
ndege JOHN
ChoiceVariable
Mr Attorney
I don't know how this helps.
You had a Regional commissioner designated but he was promote to be a minister.
Now you have designated a Police commissioner,he may be promoted to IGP.
What we need are these people facing justice at the @IntlCrimCourt.
You could make this happen.
 
Nafikiri Ngwathra kaeleza kwa kirefu athari (consequences) za mtumishi wa serikali kupigwa ban na nchi kubwa kama Marekani.

Pamoja na athari za mtu mmoja mmoja kama Bashite kuna athari nyingi za kidiplomasia kwa nchi husika.

Mwaka huu kuna kombe la dunia linafanyika Marekani, Makonda ni waziri wa michezo hatokwenda utasema atawakilishwa, lkn hutaona athari zake.

Mafyele ni government official hataruhusiwa kuhudhuria mikutano yote ya kiusalama utasema atawakilishwa, wewe huoni damage kwa nchi, ok, kuna maafisa wengi wa serikali watapigwa ban still utasema huoni athari yeyote, mwisho atapigwa ban kiongozi wao Mkuu labda ndipo akili zitakurudi.
 
Mafwele akikuteka lazima akufire halafu hapo kanisa la Sabato Mikocheni yeye ni kiongozi mkubwa sana
 
Chawa,
Safari ndefu huanza na hatua moja, tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…