ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ukiambiwa USA hauruhusuwi hizo Nchi ulizotaja pia hawakupokei pia yule jamaa aliezuiwa na Pompeo si alikumbilia ubalozi wa China Daslm kuchukua visa aende China walimkatalia kwa kumjibu malizana na USA kwanza..
Makonda alizuiwa nini kilitokeaIssue sio kwenda kwa sababu ya uzuri wa nchi, hio ni lugha ya kidiplomasia..
Suala ni diplomasia na taswira ya nchi. Marekani kuweka zuio hili maana yake imetangaza rasmi kuwa haina imani na Jeshi la Polisi na mifumo ya haki Tanzania.. nahaitoishia hapo..
Amteue awe rais na Mafwele awe IGP.kwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba box
Unawapangia , yaani kwamba Mafwele anajiamulia yeye ..Shtuka wewe , mtu afanye ukatili TZ azuiliwe USA si bangi hizo kama wanamtaka waje kumchukua kabisa .Amteue awe rais na Mafwele awe IGP.
Mwambie akahudhurie mkutano wa World Cup unaendelea Marekani.Mkimbizi , unaona USA kama wapi vile ? Mbona bashite akapigwa ban ila anadunda ...Wee mgalatia mshamba sana .
Wangekuwa wanajali wangeacha kupeana vyeo. Kitendo cha kuendelea kupiga pesa za umma kinakupa picha ipiWewe unadhani mafwele na familia yake na mabosi zake wanaichukulia kama danganya toto tu!?
Kwani yeye ni waziri wa USA au Tz, Taifa stars inacheza kombe lipi la dunia ? Kwanza, hata kombe la dunia la mwaka huu halina vibes kwa vile host country , nchi yake haina usalama wa kutosha na ndiye gaidi mkubwa duniani.Mwambie akahudhurie mkutano wa World Cup unaendelea Marekani.
Ndivyo ilivyo. Wataenda kizimbani na PAMPAS ili kuzuia majitaka visitiririkeRais wa zamani wa Cuba ni mzee sana lakini kafunguliwa kesi
Kweli kabsa ya makonda ilikuwa ya tofauti na licha ya udogo wake magufuli alimwondoa kwenye mfumo wa uongozi wakeHaya ya safari hii ni tofauti kabisa na Makonda.
Mkuu acha kuwa na kichwa kigumu, US katika lugha ya kidiplomasia hapo amesema serikali ya Tanzania inafuga majambazi , watekaji, wafiraji na wauaji, hio ndio maana yake.. hio ni picha mbaya tayari kwa serikali ya Tanzania duniani..Makonda alizuiwa nini kilitokea
Huyu hana ujanja wa kuwa na mali Europe au USAUSA endeleeni kutupa taarifa za mali zake alizoficha huko aisee najua mtazichukua ila turudishieni aisee hawa jamaa wakikukagua jua kuna vitu vingi wamepata na wana majibu yao..
Asante Mkuu hii ni message kwa Mwenye mbwa.Zingatia "diplomatic message" hayo mengine ya hisia mimi sijaongelea! US anaweza kukuground usiuze hata njugumawe na huo ushindani ukabaki kati ya Magu na njombe tu na ukashangaa! Majuzi tu hapa kabla ya uvamizi wa Iran, riyal yao ilishuka hadi laki kwa dola 1, zingatia hii sio message ya US to mafwele by the way who is mafwele hadi Rubio amzingatie? Hii ni massage kwa mwenye mbwa, period
Wewe Hadi Sasa umechukua hatua Gani Mkuu?Yaani watu kibao wameuwawa na Dunia nzima umeona with naked eyes then wanaenda mdogo mdogo !!! Ujinga mtupu
Familia ya Mugabe walivyopigwa ban USA na Europe walikuwa na mali nyingii South africa, kilichofata sahv si umeonaUnampiga ban kwenda USA wakati familia yake inaishi South africa non-sense kitakachosaidiq labda washikilie account zake za kifedha huko south
Bashite alipigwa ban na magufuli akamwondoa kwenye mfumo wake woteSafi, wamemuanika huyo fala. Upuuzi wake umewekwa hadharani. Hii itasaidia kupunguza ufala wao. Bashite na yeye walishampiga ban.
Kwani hujui lengo la Chadema kuhusu utekaji ni kwa watekaji kama Mafwele kuwa eliminated.Minor na nimeuliza Ina faida gani Kwa Chadema wanaoshangilia?
maana nikasema walipaswa kupigwa viongozi wa kuu huyo mafwele hata kibanda Cha chips hapo Kenya tu Hana so Hana impactFamilia ya Mugabe walivyopigwa ban USA na Europe walikuwa na mali nyingii South africa, kilichofata sahv si umeona
Ova