Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

na kwamba mwafwele alikua anataka kwenda Marekani kuangalia kombe la dunia, au hii ni furahisha genge tu?🤣
 
kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapa
usilolijua ni kwamba, hili linamuharibia sana kuanzia kwa familia yake, ndugu, jamaa, wafanyakazi wenzake, business patners, marafiki na jamii kwa ujumla inamuangalia kwa jicho ambalo siyo la kawaida. Itamuathiri sana embu fikiria mke na watoto wake wanaumia vipi kusikia kichwa cha familia kinajihusisha na mambo kama hayo. iwe ni kweli ama si kweli lakini athari ni kubwa kuliko hiyo ya kwenda marekani.

Cha pili, anajitoaje kwenye hizi tuhuma?Muda utafika na kama kweli anahusika atalipa kwa wakati wake
 
kwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba box
Makonda hasemi tu lakini walitaifisha pesa zake na nyumba yake USA na pia uliona magufuli alimtosa haraka kuepuka kumchafua
 
Makonda hasemi tu lakini walitaifisha pesa zake na nyumba yake USA na pia uliona magufuli alimtosa haraka kuepuka kumchafua
Hamna kipya bhana , USA sio kila kitu , mtu anaishi hapa kwao sio huko USA
 
Unawapangia , yaani kwamba Mafwele anajiamulia yeye ..Shtuka wewe , mtu afanye ukatili TZ azuiliwe USA si bangi hizo kama wanamtaka waje kumchukua kabisa .
Makonda ni mtu mdogo sana wamchukue wa nini saizi yake ni kuzuiwa asiingie kwao asije akawaambukiza, wa kunyakuliwa ni mkuu wao.
 
Kwani yeye ni waziri wa USA au Tz, Taifa stars inacheza kombe lipi la dunia ? Kwanza, hata kombe la dunia la mwaka huu halina vibes kwa vile host country , nchi yake haina usalama wa kutosha na ndiye gaidi mkubwa duniani.
Nilikuwa nadhani una hoja, uliposema nchi host wa WC haina usalama wakati dunia nzima iko huko nikakudharau.
 
Marekani ndio nini?
 
Je sisi wengine tunaruhusiwa kwenda marekani? Nilisikia kwamba Trump ameban visa kwa watanzania wote. Mtu anieleweshe tafadhali..
 
Kuwa na akili hata mbili basi mkuu. Hili suala lina athari hasi za wazi za kisiasa kwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi na kwa masuala ya kidiplomasia kwa nchi yetu. Upinzani wanapata support ya hoja yao kwamba CCM ni chama kinachokiuka haki za binadamu. Serikali ndo ishapata mtihani mwingine huoo wa kutakiwa kujieleza kwa nchi wafadhili (ikiwemo USA)kuhusu rekodi yake ya kuheshimu haki za binadamu.
 
sasa si kabaki nchi kwake anadunda.
Kipindi katajwa aliyumba sana ikiwemo kupoteza uongozi akasota sana aliporejea kaacha mambo ya hovyo yupo na Amani zaidi hataki shida na watu
 
Kipindi katajwa aliyumba sana ikiwemo kupoteza uongozi akasota sana aliporejea kaacha mambo ya hovyo yupo na Amani zaidi hataki shida na watu
Sio sababu hiyo mzee, huyu jamaa alileta tamaa na Magufuli alishamchana mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…