Wamekuja na style yao mpya ya kutoa mkeka Usiku wa manane, ndo madhara yake hayo!!1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)...
Hujamwona Godfrey Mosses Nnauye?Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?...
Mayalla maana yake ''Njaa''hapo kasulu ndio panamfaa ndugu yangu PASCO MAYALLA
hongera kwa dada yetu wa 4U MOVEMENT FRIENDS OF LOWASSAnice munissy kuteuliwa kuwa DED shinyanga pongezi kwako
Bado naendelea kuona makosa.
Mtu smart hawezi shindwa kuhakiki PDF yenye page tatu.
Hawezi hata maramoja.
Mh. Rais mimi nakuomba bora umtoe huyo mtu anayepublish hayo majina ya wateuliwa kwenye PDF. Hawezi kuwa makini wala hajawai kuwa makini.
Na jinsi alivyochora hizo table, mimi sijaona ulazima wa kutumia table kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari haipendezi.
Mimi ninachoshauri, Mh. Rais huyo mtu aondolewe tu.
Laana ya wizi wa kura itaendelea kuwaandama1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)
Ikulu hawako serious.
Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Hapo wenye dili lao wameshindwa kupandikiza au ni matatizo ya kiufundi?1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)
Ikulu hawako serious.
Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Amefanya vizuri Sana Eliud alikuwa mpumbavu Sana kiburi kingi, dharau, manyanyaso kibao Namwomba aje Imwelo tuchimbe dhahabu madurani labda atapata akiliUzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi
Kama watu wa kawaida tu wameweza kuona Hilo, ikulu wishindwa vipi?Mmh watu mnafukunyua asee!!