Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Wengine tunasugua benchi, wengine wanapeta nafasi mbilimbili.......sawa bhana.
 
Usifikiri kuwa ikulu ina watu tofauti na sisi, ndio sisi hao hao na usifikiri mtu kufanya kazi ikulu basi ana akili sana, kuna vilaza wengi tu kama zilivyo taasisi nyingine.
No, natofautiana na wewe kwa hili...

Issue yoyote toka ikulu kabla ya kutolewa hadharani kwa ajili ya public consumption huwa ni lazima na sharti ipitie ktk mikono mingi kwa ajili ya screening/uhakiki wa usahihi wake...

Sasa kama haya yako hivi, ni obviously kuwa ni kwa makusudi au kuna tatizo ktk ofisi hiyo la kukosa umakini...!

Tusiwatetee ili kuhalalisha mapungufu haya. Kinachotakiwa ni wao wenyewe kujitokeza na kusema, tumekosea...!
 
Wako compromised tayari..NOVELA imeanza kuwatesa
 
Hakuna sehemu kuna vilaza Kama IKULU, BOT, WIZARANI,TRA,MIFUKO YA JAMII nk kwa sababu ndio sehemu zinazoongoza kutoa kazi kwa vimemo
 
ndomana tunabuniwa shutuma haohao ndo washauri wamama

Swali lamam kwao ,eehe nambieni mkim-bunia kesi kamahiyo bwana Mbowe kimataifa serikali itaonekanaje

Jibu,mama hutuamini sisi tunajua hakuna shida uwe na amani tunakuhakikishia hutachafuka kabisakabisa

Walishawahi sema wanaushahidi wayule aliyekua mbunge wabukoba mjini LWAKATALe kilichofata ni aibu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Usifikiri kuwa ikulu ina watu tofauti na sisi, ndio sisi hao hao na usifikiri mtu kufanya kazi ikulu basi ana akili sana, kuna vilaza wengi tu kama zilivyo taasisi nyingine.
Kuna makosa ambayo hayapaswi kufanywa kwa levo ya kitaifa. Kwa maana hiyo kuna wakurugenzi ambao hawajatangazwa. Ni aibu!
 
Kuna makosa ambayo hayapaswi kufanywa kwa levo ya kitaifa. Kwa maana hiyo kuna wakurugenzi ambao hawajatangazwa. Ni aibu!
Tuwe wazalendo !!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu, tuvumilieni tu, hili nalo litapita.
 
Hakika sasa nimeng'amua kuwa hii kazi walifanyia steshenari. Pamoja na hayo kuna makosa mengine madogo nimeyaona ambayo hayakupaswa kufanywa kutokea ofisi kubwa.
 
Kuna kibaka kanipigia saa 5 kwamba kuna nafasi 2 zipo halmashauri hizohizo kanitajia nitoe 20M, vibaka nao wanatembelea makosa ya watu was ikulu
 
Ofisi kubwa kama Ikulu,wasiwe na excel check,ambayo hua inacheck double posting??

Mbona kipindi cha Jiwe hizi mambo hazikuwepo?? Mimi tu hapa,ukinipa hiyo kazi,siwezi fanya double posting hata kidogo! Tuwe serious kwenye mambo ya msingi!
Nakubali, Kuna makosa yanaweza kufanywa na taasisi fulani lakini sio ikulu tena kwa makosa Kama haya
Hapa tumepata message kuwa ikulu haipo makini hata kidogo kwenye utendaji kazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…