Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaah huu uzi watu wapo na mie mweeh, sijawahi ku reseat mtihani au kurudia darasa, wala kufeli ktk level yeyote ya Elimu,

Na hakna dada yangu anayefanya hiyo biashara, labda km una jingine, poleeeeh kwa kuteseka lol.
 
Non sense, kunywa maji mengi na u relaaaaax. Poleeeh
Boss, for good na ku maintain status yako ya ki beamer beamer X6, tafuta ata Samsung note8 hizo cheap brand Tecno na Infinix tuachie sisi watu wa baby walkerπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe dogo gari hainunuliwi kwa kuangalia wenzako wananunua ipi;
wewe zingatia yafuatayo
1. Unahitaji gari ya kufanyia kazi gani (hii itakusaidia kujua ukubwa, na uimara na aina kulingana na matumizi)
2. Itaenda wastani wa umbali gani kwa siku ( hii itakusaidia kukadiria gharama za uendeshaji na wear & tear)
3. Unauwezo wa kuweka mafuta kiasi gani kwa siku/mwezi
4. upatikanaji wa vipuri/spare na mafundi wa hiyo gari; kama zipo mjini kwako au hadi uagize mikonani/Nje ya Nchi
5. Unategemea kutembelea zaidi barabara za aina gani ( Vumbi au Lami) ili uangalia ground clearance. usije kununua gari inatemea karibia iguse lami na kwenu barabara za vumbi

Ukijibu hayo maswali utaweza kununua gari la kukufaa bila kufuata mkumbo wa kununua gari siku unayofuata una anza kuhangaika na Spacer , sijui tairi kubwa nk
Kama uwezo wako ni wa kawaida NunuaToyota na kama hutapata chaguao lako jaribu Nissan
 
Aisee.[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
mumeo inatakiwa apambane kinyama, azidi kununua mandinga makali....
 
Boss, for good na ku maintain status yako ya ki beamer beamer X6, tafuta ata Samsung note8 hizo cheap brand Tecno na Infinix tuachie sisi watu wa baby walkerπŸ˜‚πŸ˜‚
huyu mdada kweli anamiliki x6 πŸ˜…

Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…