Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humo tyuuh, mkuu hakna namna.
Nimejarbu kuwaza siku akipush Passo ya piston 3... [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimewaza tu najua hawezi fika huko..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nimejarbu kuwaza siku akipush Passo ya piston 3... [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimewaza tu najua hawezi fika huko..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mungu wangu wee!! Mbavu zinauma hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Maisha kuna kupanda na kushuka, so inaweza kuwa, uvumilivu unakuwepo life linasonga hat km kibishi, hahahah
 
Sawa Boss, ule mpango wako wa kuzamia ughaibuni bado upo?
Jamani sikuwahi kusema nitazamia ughaibuni, but nilisema nitatafuta opportunity za kunifikisha huko, na zipo nyingi sana kwa upande wangu, ni suala la muda tyuuh.

Haya lete jingine linalonihusu unalolifaham nikusaidie upate ufafanuzi, maan naona umekua ukinifuatilia kila nakopita lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu wangu wee!! Mbavu zinauma hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Maisha kuna kupanda na kushuka, so inaweza kuwa, uvumilivu unakuwepo life linasonga hat km kibishi, hahahah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapo sasa nimekusoma..

Ashukuriwe Mungu aliye juu mbinguni, umetamka point muhimu..UVUMILIVU..[emoji119][emoji119]

Maana bila uvumilivu, kutoka X6 mpaka passo 3pistons,

Lazima sponsor mwenye tako la nyani au Murano achukue nafasi..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]
 
Hizo opportunities za ughaibuni zimwage hapa..
Zinaweza kusaidia wadau..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]
 
😂😂

Asante Sana kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…