Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Yani aligongwa na gari nyingine

Nafikiri itakua hivyo mkuu, but sina uhakika nami nilidokezwa na jamaa

However, kila mara nikishuhudia magari ya jeshi, polisi na magari ya serikalini yakivunja sheria za bara bara+traffic lights
 
Sasa naelewa why nchi hii ina mazuzu wengi, ungeonyesha dalili za kuwa na uwezo wa kufikiri ningekupeleka Zambia,Namibia na Botswana kwenye miji yao mikuu ili uone majeshi yao yanavyo behave, nchi hizo zote elewa Zina pia road blocks wanazozisimamia,raia they never complain
 
Ata bongo wapo wenye nidhamu tu
 
Nani kakwambia hawa haya gari binafsi hv hv wanatundika koti lina mawe began kwmy siti ya dreva utamwambia nn
 
Jeshi ganii linatunga sheria
Mtungaji mkuu wa Sheria ni Serikali.

Jeshi nalo ni Serikali.

Polisi nao ni Serikali.

Hao ndio wavunjaji wakuu wa Sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…